Baada ya CEO wa open AI Sam Altman kufukuzwa kazi katika Kampuni ya Open AI
Microsoft imempa ajira mpya bosi huyo wa zaman wa Kampuni ya Open AI ili Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia
Chanzo CNN
Hii Leo ni Siku ya pili bar za network zimepotea ghafla , nashindwa kuelewa tatizo ni nini kila laini ninayo weka bar za network zinatokea kuashiria kuwa lain ipo kwenye simu ghafla zinatoweka ndo...
Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha...
Labda kuna limitation ya kwamba mwisho kutuma sms kadhaa au labda kutuma sms nyingi sana kwa mda mfupi unaweza onekana suspicious ukablokiwa, nauliza hili swali labda kama unatak kufanya matangazo...
Habari, naomba wataalam mniweke mwangani juu ya kufanya trading kwa kutumia Robots, je kuna faida gani? kuna hasara gani?
Kununua Robot mfano kutoka Royal Q kunaweza kuwa na utapeli wowote?
Je...
Wakuu nimeona baadhi ya simu zinakuwa na sehemu ya SIM na eSIM. ni sawa na hizi zenye dual SIM? Line za eSIM ni kitu gani. Tofauti yake na line za kawaida nini? Unaweza kuzitumia Bongo...
Kampuni ya Xiaomi ambayo inajihusisha na kutoa bidhaa mbalimbali za kichina ulimwenguni , sasa wameingia kwenye soko la kutengeneza na kuuza magari ya Umeme Electric vehicle (Ev).
Xiaomi walikuwa...
Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika...
Wakuu na wataalaamu wa phone security,
Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack?
Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI...
Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha.
Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo...
Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla.
Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google...
Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram.
Hii ni feature mpya ambayo...
Habari
Naomba nisisitize kama haupo kwenye tasnia tajwa hapo juu uzi haukuhusu unless uwe mdau mwenye nia ya kusapoti mawazo chanja.
Niende kwenye point,
Ninataka ku establish forum/hub ambayo...
Habarini ndugu zangu,
Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda.
Natanguliza shukrani kwenu.
Moja Kati ya vijana waliofanya mapinduzi makubwa ya teknolijia kwenye umri mdogo ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni ya Silicon Valley na Open Ai Mr Sam Altman amepokonywa cheo chake siku ya...
Morning Guys
Naamini tupo sawia na wale wa Daslam mnajiandaa na bonge la party J'pili [emoji38][emoji38]
Kichwa cha habari chahusu.
Kama wewe ni mpenzi wa bus simulator Indonesia au mpenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.