Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za...
9 Reactions
16 Replies
932 Views
Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hope wote mu wazima wa afya. Kama kuna mtu anaeelewa huu mtambo, naomba msaada wa kubadili lugha.
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Naomba sana ambaye anaweza kunisaidia vitabu vinavotumika na VETA Kufundishia umeme wa majumbani level ndogo kwenda kubwa.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii inahusu blogger au walio interested na websit au blogs. Swali langu je Mabumbe (blog) anawezaje kupost matangazo ya kaz au tenda mengi hata elfu yanafika kwa wakati mmoja ana wezaje...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba kufahamu hili tatizo linaweza kua kioo chenyewe ndo kibovu au taa zinaanza kuishiwa nguvu
2 Reactions
8 Replies
729 Views
Nimeshindwa kurekodi wakat unaongea na mtu kt simu 2 za google pixel , pixel 4a na pixel 5. Kuna namna ya kufanya ili uweze kurekodi mazungumzo wakat unaongea kwa kutumia hizi simu za google pixel?
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni stori ya kusisimua iliyogonga vichwa vya habari inaonekana Kama hadithi za kare Babu anamwambia mjukuu wake lakini ni maisha ya uwalisia zinatengenezwa roboti zitakazo fanya maamuzi yenyewe...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Naomba kujua kama ukiwa na airpods unaweza play fm bila kuweka airphones za waya
2 Reactions
3 Replies
405 Views
Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale...
7 Reactions
62 Replies
10K Views
𝗠𝗶𝗰𝗿𝗼𝘀𝗼𝗳𝘁 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗖𝗼𝗽𝗶𝗹𝗼𝘁 Tuko Kwenye ulimwenguni mpya wa kizazi Cha Akili bandia ambao umeleta mapinduzi mengi ya Teknolojia. Microsoft wametambulisha akili bandia yao ya...
2 Reactions
1 Replies
500 Views
Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita...
3 Reactions
1 Replies
526 Views
Jamani anaejua kuscrape telegram group members Contact na kwenda kuzipang kwenye excel vizuri, toa neno hapa, tuongee biashara
1 Reactions
7 Replies
477 Views
Wandugu umofia kwenu. Napenda kufahamu labda mimi sio mtunzaji au nakosea sehemu. Izi racket za kuulia mbu za kuchaji na umeme mbona kila nikinunua hazina maisha marefu, yani ata mwezi hautoboi...
5 Reactions
11 Replies
791 Views
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine...
3 Reactions
7 Replies
638 Views
Haya sasa Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO ) Ikumbukwe kwamba idea nzima ya...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Kunatofauti gani kati ya Program na Application?
0 Reactions
14 Replies
777 Views
Salam,naomba ushauri wenu,je Samsung hii inasumbuaga au zina historia mbaya? Hapa duka x nimeambiwa Hiyo Ram 4 internal storage 64 sh 370,000 TZS.
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Moja Kati ya simu Bora ya kutumia kwa mwaka 2023 Toka kampuni ya Infinix ni hii Infinix Note 30 Vip, ambayo imeachiwa June 30 mwaka huu ikiwa na feature kedekede ndani yake Leo nakuambia kadhaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom