Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakubwa vipi mambo nimedownload hii game kupitia torrent na nimeiinstall kabisa tatizo ni moja haifunguki kila nikijaribu kuiopen kale kamshale kanazunguka tu alafu kanaacha hakitokei kitu...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Mtandao wa Whatsapp ambao ukitoa feature Nyingi mpya inaonekana inachukua toa telegram [emoji16], hatimaye Whatsapp wako kwenye mchakato wa kuleta feature mpya kwenye status. Meta inataka kufanya...
0 Reactions
4 Replies
447 Views
Jamni wanafamilia wa jamii forum ninaitaji games za PlayStation3 naomba msaada wenu ni bei gani maana naitaji magemu kama Mpila na god of war
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana jamvi naomba kufahamu kwa mtu mwnye uwelewa na mambo ya ufundi/umeme hiv hiki kifaa ni inverter au la? Automatic voltage regulator
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
1 Reactions
7 Replies
817 Views
Wakuu habarini poleni na majukumu, jana nilipita sehemu nikakuta wanauza visimbuzi vya azam vile vya 49000 nikachukua. Sasa shida inakuja kwenye kuwasha yani nimeseti antenna vizuri tena ipo juu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza na Nigeria amekiri katika mahakama ya Marekani kudanganya na kuiba zaidi ya $6m (£4.7m) katika kipindi cha miaka saba. Idris Dayo Mustapha, 33, alikuwa sehemu ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tajiri ELon musk amesema anaweza kutoa zaidi ya dollar za kimarekani bilioni moja ikiwa kampuni ya Wikipedia itajibadilisha jina lake. CEO wa Tesla amewapa ofa Wikipedia kwa kuwataka wabadili...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umeshawahi kuona simu yako unapoweka sikioni wakati umepigiwa au unasikiliza voice note inajizima ? Je shida inakuwaga Nini unakuta mtu kakupigia simu unaweka sikioni kioo kinazima. Lazima ujue...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa. Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu. Ofa yangu ni Tsh 200,000/= Location ni Dar es Salaam - Ilala...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Kampuni ya Meta sasa wamerudi kwa Kasi kwenye mchakato wao wa kuweza kuzifungia namba mbalimbali ambazo zinatumia program ya Whatsapp Gb. Kuna kipindi Meta walitoa taarifa ya watu kuweza kuacha...
14 Reactions
120 Replies
8K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la kukopesha simu... Unalipa kidogo kidogo kama mtambo wa sola. Hajapatikana mtu wa kubadili either IMEI au chochote ili simu iwe free? Sent from my 2201117TG using...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Whatsapp Bado wanamalizia kufanyia marekebisho kadhaa kuweza kuachia feature mpya ya 𝗨𝘀𝗲𝗿𝗻𝗮𝗺𝗲 kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ulimwenguni kote. Kupitia repoti yaWabetainfo wamesema watumiaji...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Urefu wa Miaka ya Dunia unabadilika kila baada Muda kipindi Cha Miaka ya dinosaur (wale wanyama wakubwa ulimwenguni) kulikua ni kipindi ambacho Dunia ilikua na masaa 23hrs. Mabadiliko ya Sayari...
1 Reactions
5 Replies
420 Views
Kuna ripoti inaonyesha toleo jipya la iOS 18 litakapo Toka litaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu watu kuweza ku install app nje ya app store kwa urahisi. Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu za...
2 Reactions
11 Replies
848 Views
Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya mawasiliano ya simu nchini south Paratus wameshirikiana na waendeshaji wa Satellite ya Eutelsat wametangaza huduma ya mtandao wa satellite wa One web low Earth Orbit (Leo) nchini Afrika...
5 Reactions
5 Replies
717 Views
Kampuni kongwe ulimwenguni Nokia wataweza kuachia simu mpya ya Smartphone aina ya Nokia 1100. Ni simu ambayo iliwahi kuachiwa zamani ila sasa wameamua kuifanyia mabadiliko kuwa ya kipekee. Hata...
5 Reactions
11 Replies
927 Views
Back
Top Bottom