Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Siku ya jumatano bilionea namba Moja ulimwenguni Elon Musk aliwashangaza watu wengi ulimwenguni kutokana na kauli yake ya utata dhidi wa wadhamini mbalimbali kupitia mtandao wa X kwa kusema Go...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
IQ>>AI Na KENGE Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na...
2 Reactions
4 Replies
535 Views
Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati...
0 Reactions
4 Replies
390 Views
Azam Tv wamekuja na Ma dish mapya kwa ajili ya Magari Nazani kama una safiri kuelekea mikoanii sasa unakutana na magari ambayo yanaonyesha chaneli mbalimbali za Azam wakati wa safari? Si ndiyo...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Nimefuta medias zangu na vitu vingine kwenye smart phone samsung s3, kuna app yoyote inayoweza kusaidia ku recover Cc Chief-Mkwawa, KikulachoChako
1 Reactions
13 Replies
958 Views
Habari wananzengo" KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan? Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
"Ndugu Mteja, 627692622 imehuishwa kikamilifu na MWAFT29499 - PHILIBERT JUMA TUBILOLE Mwenye XXXXXXXXXXXXXX 000324 tarehe 12/10/2023 20:26:08 PM.Piga 100 au tembelea maduka yetu kwa msaada."...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Wiki mbili zilizopita Korea ya kaskazini ilifanikiwa kurusha satellite yao ya kijeshi ya kijajusi Angani kwa ajili ya masuala ya kiusalama. Hatimaye, Korea ya kusini imejibu mapigo kwa kurusha...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Mtandao wa Telegram imeachia feature mpya kwa watumiaji wake kuwa na uwezo wa kutafsiri sauti kuwa maandishi kwa urahisi kupitia simu zao. Inaitwa voice Transcription mwanzoni ilikua inapatikana...
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Salaam Kuna vitu siku hizi sivielewi na huu mtandao. Nimeviona mara kadhaa nikabaki kujiuliza na sina jibu. Unanunua bando la internet ila hawa washenxi wanakula bando lako zaidi ya 30% hujui...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu. Turudi Nyuma mpaka mwaka...
4 Reactions
4 Replies
748 Views
Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia. Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet...
1 Reactions
9 Replies
588 Views
Is the WhatsApp verification code or security code not sending? Did you request an SMS code from WhatsApp but you’re not receiving it? If you’re facing this issue, you won’t be able to access...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
2 Reactions
7 Replies
592 Views
Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Hivi unajua Unaweza kutumia wifi kupiga simu , kupokea au kutuma ujumbe wa Sms kupitia simu yako ikiwa mtandao unasumbua na haupatikani kabisa. Matoleo mengi ya simu kuanzia mwaka 2015 yana hii...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom