Baada ya kufunga Antena ya Azam nilipambana kuona INTENSITY na QUALITY lakini naona tu kote inasoma ZERO ingawa chanels zinaonesha. Japo kuna mda kunatokea scratches za hapa na pale kitu ambacho...
Salute,
Nina solar panel watts 100, betri N75 charger control na inverter, changamoto ni kwamba inasukuma tv inch 55' , speaker watts 30,000 na kipaza sauti kwa dakika 5- 10 tu.
Shida ni nini...
Artificial Intelligence poses “risk of human extinction,”warns ChatGPT founder and other AI pioneers
Artificial intelligence tools have captured the public’s attention in recent months, but many...
Habar zenu wakuu
Yani nakuta simu yangu inafanya App crash yani hytak kufungua gallery eti tatizo ni nini ???
Yani ikifungua inajitoa
Msaada wenu kwa anaefahamu please
Watalaaam kwemaa
kama kichwa cha habari kinavyo sema,
Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa...
Wakuu wa JF kwema?
Naomba kujua ni App gani ya simu au PC nzuri kwa kufanya video editing au hata Image editing kwa ajili ya kutangazia biashara online.
Nitashukuru sana nikipata msaada juu ya...
Wakuu habari,
Kuna kampuni ndogo nategemea kuianzisha hivi karibuni, ambayo baadhi ya kazi zake zitakuwa zikionyweshwa huko 'youtube'; mpango mzima wa kuandaa maudhui utakuwa ni huku Tanzania...
Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed.
Unakumbuka kuicheza?
Ulikuwa na umri gani?
ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂
Dah...
Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni.
Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu...
Wakuu habari
Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out)
Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap.
Nashangaa tatizo ni...
Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua.
Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones.
Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate...
Iliwahi nitokea hii, simu nilinunua laki 4 ikapasuka kabisa kioo, kuulizia bei ya kioo laki 2 na elf 80, nikasema potelea mbali heri ninunue simu mpya tu, lakini kulikuwa na vitu vya muhimu ndani...
Wakuu nimeletewa tablet hapa wameniambia dogo alikua anachezea gemu Sasa baadaye wakafungua Kwa password Ile Ile ya 2022 lakini Ngoma inasema wrong password. Nimejaribu kufanya hardreset lakini...
Habar zenu waungwana ivi Kwa bajet yangu ya 150k naweza pata tablet ya Samsung Galaxy series yoyote ile hata Kwa mtu ili namimi nifanye jambo langu flani ivi?
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo...
Mamlaka huru ya mawasiliano nchini Afrika kusini (icasa) imetoa onyo kwa mashirika, kampuni au watu mbalimbali ni haramu au marufuku mtu kutumia mtandao wa Starlink.
Mamlaka hiyo ya Icasa iliweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.