Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Skia tu kwa watu Ku-upgrade sytem kutoka version moja kwenda nyingine sio shuhuli nyepesi, ni bora kufanya development upya
2 Reactions
14 Replies
825 Views
Wakuu habari zenu. Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga. So anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi...
2 Reactions
3 Replies
499 Views
Wasalaam! Wakuu na wataalamu! Ninaomba msaada wa kupata Microsoft Office Kati ya 2019, 2021 au hata 2016. Imekuwa mtihani kwangu kupata hizo version( for free) Nashukuru sana wakuu
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tz imekuja na huduma ya eSIM ambayo imekua ikisubiliwa sana. Huduma hii itawapa watumiaji nafasi ya kutumia zaidi ya namba moja kwenye simu moja bila kuongeza...
14 Reactions
73 Replies
9K Views
habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google...
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Nawasalimu wana JF, naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Google's crawler, when scanning a webpage for backlinks, identifies URLs within HTML anchor tags (<a> tags) that contain the href attribute. The structure of a backlink URL in HTML code typically...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Kwa Kiswahili Prof Bibling amekuwa na tabia/taratibu/tija na amekusanya mbinu zilizothibitishwa za mazoea ya kujenga na kuongeza tija katika kubadilisha tabia. Mbinu hizi zimetoka kwenye vitabu...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Wakuu Mambo. Nataka kununua kati ya Home Theater ya Sony DAV TZ 140 5.1 au Sound Bar ya Hisense HS 281 2.1 Zote mbili bei zinafanana approximately Tsh 450,000/= kila moja. Sony Home Theatre...
7 Reactions
102 Replies
12K Views
wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana. USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #. Nifanye nini kutatua?
0 Reactions
4 Replies
281 Views
Habari Najaribu kujisajili Netflix since jana lakini inagoma mwishoni haikubali nilipie sijui shida nini naomba msaada
2 Reactions
3 Replies
265 Views
NAOMBENI MNIVUMILIE MIMI BADO S MUELEWA SANA WA HIVI NDO MY FIRST TIME Nimejisajili na paypal tayari Ila shida nayopata ni pale aliexpress ikifanya kwenye kulipia malipo paypal siioni wananiletea...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamani nahitaji programmer anifundishe coding kwa kuanzia na C++ Awe DAR. Nicheki PM
1 Reactions
21 Replies
764 Views
Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma. Sheria hizi...
0 Reactions
12 Replies
517 Views
Wakuu nataka kununua friji used Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme...
0 Reactions
9 Replies
877 Views
Msaada wakuu printer yangu Epson l382 inawaka taa ya wino na paper na haifanyi chochote [emoji120]
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakubwa zangu habari za kwenu.Natumaini tunandelea vyema na majukumu yetu ya Kilasiku. Katika kupita YOUTUBE nimeona Tips and Trick katika matumizi ya Gmail,ukweli kuna Features nyingI Free za...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe...
48 Reactions
109 Replies
8K Views
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom