𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗶𝗺𝗲𝘄𝗮𝗼𝗻𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗸𝘂𝗮𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘇𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮𝗼
Store ya Kampuni ya apple nchini china imewaonya watumiaji wa iphone 15 series kuacha kuchaji simu zao kwa...
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ...
Katika pita pita zangu mtandaaoni, nimekutana na review ya device za Huawei na Harmony OS kwa who is the boss.
Aisee Harmony OS ni kali sana, hasa devices zake zinavyopair na kuinteract yani ni...
Wakuu mganga ajigangi nimepata hii shida kila nikisajili namba yangu whatsapp au kusajilia namba yangu kisha nibadilishe kwenye hii namba
Huu ujumbe nimeteseka sana nao na hapo natumia official...
wakuu kwema
msaada kwenye tuta,nina vibarua kama 100 nimepewa jukumu la kuwalipa kila siku baada ya kazi kuisha waliorodhesha namba zao kwahyo kila ikifika saa 10 kila mmoja anatumiwa pesa yake...
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.
1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku...
Siku zote lipo tumaini katika hali yeyote mtu anayokutana nayo Maishani. Umasikini au hali ngumu ya Maisha sio vitu anavyodumu navyo mtu siku zote.
Nnamdi Ezeigbo, ndie Mwanzilishi na mtendaji...
Wasalaam Wakuu,
Naomba kujua ni vipi unaweza kutumia handset yako kuchangia humu JF? Kwa mfano mimi natumia TECNO H7 smartphone lakini nashindwa kutumia effectively JF zaid ya kusoma tu, sasa...
Habarini.
Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.?
Msaada...
Habari!
Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa.
Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba.
Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha...
Habari wakuu?
Naomba mnipe tofauti ya hivyo nilivyo taja hapo juu. Nini matumizi yake? Faida na hasara zake?
Na ni ipi bora kuwa nayo nyumbani?
AHSATENI
I love tech. Phones are part of it.
Leo nilikutana na fundi simu mmoja wa miaka mingi sana. Nakumbuka mwaka 2009, kabla Simu za laini mbili hazijakuwepo, huyu fundi alikuwa anakata laini na...
Habari za muda huu?
Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili
Canon 5D Mark II na Canon 750D
Ipi nzuri, kwa matumizi ya picha na video shooting,
Natanguliza shukrani.
Infinix NOTE 30 na Samsung A24 ni miongoni mwa simu janja ambazo zimeachiliwa Mwaka huu na kuuzika katika mataifa mbalimbali. Simu hizi zinatofautiana bei na baadhi ya sifa hivyo basi leo...
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized...
Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612.
Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku...
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona...
wakuu wataalam wa tech, je nawezaje kusoma text au jumbe zilizotumwa kwene account yangu ya Facebook kupitia Email?
Zamani sana nilikuwa naweza kusoma ujumbe kupitia email notification bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.