Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau pc yangu ni Dell toleo la zamani, wakati nafanya shighuli zangu za kawaida imekata moto gafla ila adapta inawaka kama kawaida sema pc yenyewe ndo haiwaki. Nina mpango wa kumwaona fundi ila...
1 Reactions
5 Replies
398 Views
Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
This is 2 M1 Max connected together. Up to 128 gb of unified memory. 20 core CPU 64 core GPU 8x faster than M1.
3 Reactions
91 Replies
6K Views
1. Dar es salaam Institute of Technology (DIT) 2. St.Joseph University in Tanzania. 3. University of Dar es Salaam. 4. University of Dodoma
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu za muda? Je bei ya hichoo kioo ni kiasi gani? Nisije pigwa kwa uzoefu wenu naomba maoni yenu
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati...
1 Reactions
4 Replies
684 Views
Habari za jion wadau kama Kichwa Cha habari kinavyosema Laptop aina dell E5430 Inaleta mistari kwenye screen ikiwa imetingishwa ila ikitulia screen inatulia je ni tatizo la screen au software...
0 Reactions
3 Replies
273 Views
Kuna hii machine ya kitambo sana kichwa chake hiko kilizingua nikaiweka kando. Nataka kuifufua niinunulie kichwa chingine. Spika zake zote ziko vizuri Au kama kuna namna ya kuunga spika zake na...
2 Reactions
12 Replies
501 Views
Je umekuwa ukitafuta mahali unaweza weka Miziki yako baada ya Kuweka Cover katika hiz Nyimbo ili ubrand jina au Website jina lake sasa karibu KWETU CLOUD ni Kikundi ambacho kimeanzisha Panel...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Kutengeneza mobile au web application haitofautiani sana na ukandarasi wa majengo, kwamba kabla Engineer hajanyanyua mjengo ni lazima awe na design au ramani ya jengo, kutoka kwa Architect. Ndivyo...
0 Reactions
10 Replies
581 Views
kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina...
1 Reactions
11 Replies
517 Views
Habari wakuu? Nilinunua hisense smart 4k inch 58. Miezi miwili iliyopita. Sasa jana kwa bahati mbaya ime crak kioo. Na warant inasema mwaka mmoja. Je naweza wasiliana na mwenye duka akanipa tv...
3 Reactions
14 Replies
881 Views
Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
2 Reactions
11 Replies
845 Views
Huduma ya internet ya bei nafuu na yenye kasi kubwa ya Bwana Elon Musk ya Starlink sasa inapatikana Msumbiji. Sasa karibu nchi zote zinazoizunguka Tanzania zina Starlink. Tanzania tunasubiri Elon...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba kujua nn tatizo kwenye hiki kingamuzi cha azam. Naona ghafla tu chanel zote za mpira hazionekan kwenye orodha ya chanel na salio lipo la kutosha, nimejaribunku search automatic lakin...
1 Reactions
3 Replies
953 Views
Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana...
0 Reactions
7 Replies
638 Views
Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0...
34 Reactions
123 Replies
7K Views
Maoni!! Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka, Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming? Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Hi. Mfano wa hizo technology zenyewe ni 1. QLED 2. OLED 3. ULED 4. UHD4K 5. VIDAA 6. NAnocell 7. CrystalUHD 8. NeoQLED 9. OLEDevo 10. iphone 13 Ukichukua hiyo tv mpya na tv ambayo ulinunua...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom