Wakuu habari,
Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya.
Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo...
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?
Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
Habari za wakati huu wadau wa Jamiiforums, Ama baada ya salamu ni kwamba nina desktop aina ya Dell, nimekuwa niikitumia kwa matumizi ya kawaida tu mfano scanning, printing n.k lakini baadae...
Habarini za muda huu wakuu,
Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo
Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD...
Mauzo ya simu za Apple nchini China yameshuka na dalili zinaonesha yataendelea kushuka mwaka huu wa 2024, kwa mujibu wa utafiti wa Jefferies.
Mauzo ya iPhone 15 series hayakuwa mazuri tangu...
Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti...
wakuu niaje.nina simu ya samsung note9 shida niki unistall au delete txt notification ya deleted inakaa muda mrefu sana alaf ndy inatoka.eg. picha below
Kumekuwa na dhana kuwa wakati radi ikipiga huku ukiwa na simu iliyowaka kuna uwezekano ukadhurika na radi kutokana na uhusiano wa karibu kati ya umeme wa simu na umeme wa radi.
Sasa je, ni upi...
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya.
Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka...
Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru
Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha...
Kama unahitaji website kwa ajili ya Biashara yako au app kama vile za movie, mziki, kubet, social media na vingine vyote. Malipo ni baada ya kazi. Karibu 0692782826
Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo .
Pia na namna ya kuandika...
Najuta kuchukua star X [emoji17][emoji55][emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo...
Habari za saa hizi wanajf!
Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu.
Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika...
Nimeleta nyuzi kadhaa kuhusu programming watu hawanijui na Wala hawajawahi kuniona anaongea if anakufahamu
Kuna watu baadhi yenu huku mnanifahamu na tulishawahi kuonana live tuka discuss na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.