Heshima Zenu Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Hamjambo Na Mnaendelea Vizuri Na Majukumu Ya Kulisongesha Mbele Gurudumu.
Bila Kupoteza Muda Nimekuja Kwenu Nikiomba Mtu Anayefahamu Namna Ya...
Habari,
Leo nimeingia kwenye account yangu ya remotask, ila kwenye dashboard, inaniletea natakiwa nifanye verification, ila kila nikiweka namba inanigomea inasema invalid.
17 January 2024
A study has found that microplastics, which are linked to negative health consequences, are present in 90 percent of protein sources such as meat and even plant-based alternatives...
Habarini watu wa Mungu,nina tatizo hili kwenye account yangu ya WhatsApp business.
Nimejaribu kuwaomba waifungue sioni response yao, msaada tafadhali naombeni.
Wadau naomba anayefahamu app nzuri ya biblia yenye features nzuri zaidi zinazorahisha usomaji, utunzaji kumbukumbu, na utafutaji wa maandiko.
Kwenye play store zipo nyingi Sanaa kiasi kwamba...
Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro, tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka na kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto.
Mwenye kuelewa hili...
Laptop yangu inahili tatizo nimeangalia movie au kucheza game kama Inaleta Hayo maandishi then I inajiresistart
Wenzangu mlisolve vp Hapa
Nime attach Picha chini hapo
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?
Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?
Njia...
Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu 😁 wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana,
Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka...
===
Betavolt, kampuni mpya ya Kichina, inadai kuwa imeendeleza betri ya nyuklia inayoweza kuwasha simu za mkononi kwa miaka 50 bila kuchaji upya. Betri hiyo inatumia nishati ya atomiki...
Nikitaka kuingi/ku sign in Gmail ya shule bussiness inaniingiza kenye g mail yangu. Inakataa kunietea g mail ya shule. Nifayeje? hata ki sign out, ni sign in inanpeleka moja kwa moja kwenye g...
Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama:
🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi.
📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika.
💻...
Huawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi.
Baada ya kuwashangaza na simu zenye socs alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu...
Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.
Hata...
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.