CODING
Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile...
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama...
Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea...
If you've seen the incredible upward momentum of Bitcoin, Ethereum, and other cryptocurrencies, you've maybe also considered getting in on the action. Now, you're gonna learn how.
But first, a...
Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja...
Wakuu nahitaji kujua nice nitatumia solar ya watt ngapi? Na betri la AH/N ngapi? Ili niweze kuwasha taa mbili na kucharge simu mbili zenye jumla ya mAh 6000 kila siku hata kipindi cha kifuku...
Wana Tech Kwema?
Mimi ni full stack programmer
Nafanya Web, na Mobile
Nafahamu languages zifuatazo
1.PHP
2.Javascript
3.Java
4.Kotlin
5.mysql
6. Na kidogo flutter
Mimi sio mzuri Sana kwenye CSS...
Habari wana JF !
Nimekusudia kumiliki simu hii ila bei yake kwa sasa siijui, so kwa yeyote anae jua bei yake naomba anifahamishe na wapi sehem duka ambalo nawez ipata og yenyew hapa Dar maana...
Habari;
Tuseme mfano nahitaji kuskiliza mziki.
ninachoskiliza kwenye headphone kiskike vile vile kwenye Bluetooth speaker kwa pamoja.
kelphin, Extrovert na wadau wengine karibuni.
Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa.
1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie...
Habar za usiku wananzengo!!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze...
Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada..
Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.