Google pixel 7&7pro ni moto wazeee Team pixel tukutane kuzijadili.
Ikiwa tayari uzinduliwaji wa simu aina ya google pixel 7&7pro kuzinduliwa mda mchache ulio pita Sasa hizi ndio Bei zake na nchi...
Smart parents take extraordinary steps for their children's future. It's time to take that crucial step now and enroll your children in programming courses at Safco Academy!
Why Safco Academy is...
Habari,
Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7.
Halafu ni tecno na sasa hivi hii App...
Wakuu nina friji langu aina ya HAIER nimelinunua miez 6 iliyopita nilikua nalitumia vizuri tu bila tatizo ila mgao wa UMEME ulipoanza basi umeme ukirudi linakua linachelewa kuwaka
Linakua...
Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu
Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo...
Why Choose Power Query Training with Us?
Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately.
Expert Guidance: Learn from...
Habari
Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka...
Sijui ni mimi tu mafundi niliowahi kutana nao au lah. Kama kule Kariakoo. Mitaa kama Aggrey na Uhuru zina mafundi simu wengi ila wengi kama siyo wote ni miyeyusho. Mikoani huko ndo kabisa.
1...
Hello bosses........
Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga...
Mimi ni mpenzi wa muziki na miaka 3 nyuma nilikuwa naweza kupakua miziki niitakayo kutoka YouTube yeyotena kuisave ili kuiplay kutumia y2mate lakini kwa sasa naona nakwama.
Naomba msaada kwa...
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.
Kwa mfano katika muundo...
google play services wanachukua kias Cha sh 4000 kwa mwezi mmoja.kila mwezi lakini situmii huduma yoyote kutoka kwao..ila niliwai kuingia mtandaoni nikaingiza namba ya Siri ya kuunda tu sio ya...
Habari Wana jukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive, maana Kila nikijaribu nashindwa Kama kufungua akaunti nimefungua na kufuata process...
Wakuu bila shaka huu siyo msamiati mpya ila kama mjuavyo inawezekana jambo unalisikia miaka mingi tu na kulielewa juujuu tu ila ukitakiwa kulieleza kitaalamu ukakwama.
Nimepita ukurasa fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.