Siku hizi kumekua na ongezeko kubwa la programming bootcamps ambazo hutoa mafunzo ya programming, lakini nyingi kama sio zote hutoa mafunzo kwa bei kubwa huku wakihakikisha uhakika wa ajira baada...
Aisee
Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu
Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali...
Wakuu natanguliza shukrani zangu kwenu, nataka kununua friji kwa matumizi nyumbani Friji ipi ni Bora na inauwezo wa kudumu kwa mda mrefu?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Ndege hai aina ya Kipanga "Peregrine Falcon" anasifika kwa kasi yake, hufika zaidi ya kilomita 320 kwa saa (200mph) wakati wa kupiga mbizi angani (Aerodynamic Dive).
Kinadharia kwa kasi hii, hewa...
Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app ambazo sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung A04 siioni kama...
Habarini wadau,
Nauliza jins ya ku freez app amazon sizitumii mara kwa mara ili kupunguza matumiz ya bando,nilikuwa natumia infinix smart 6 option ilikuwepo Lakini kwenye samsung siioni kama...
Ada Lovelace alikuwa binti wa mshairi maarufu Lord Byron na Annabella Milbanke Byron. Ndoa yao ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja tu, na Ada hakuwahi kukutana na baba yake. Ili kupambana na tabia...
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya technology basi biashara nyingi zinafanyika kiurahisi zaidi tofauti na mwanzo.
Wafanya biashara wengi wanatumia mifumo mbalimbali kuendesha biashara zao kwamfano...
Ipo hivi, akili mnemba au kwa kimombo Artificial intelligence AI's zimekuwa nyingi sana sikuizi. Ila hii ChatGPT imekuwa msaada mkubwa kwa watafutaji ajira.
Fanya hivi fungua account ya ChatGPT...
Kwa walimu wa shule za msingi nazani zitawarahisishia kazi zenu kipindi hichi Cha kuandaa maatokeo.
INACHOWEZA KUFANYA
1 Kutambua daraja za kila somo (A-E)
2 kutafuta wastani kwa kila mwanafunzi...
Heri wakuu.
Mwenye uzowefu na hiyo box,
Najaribu kuweka simcard,inaisoma lakini haiwezi kuconnect internet.
Tafadhali anaeijua,naomba anijuze shida yaweza kuwa nini
Habari zenu wakuu
Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi
Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na...
Msaada nataka kununua soundbar nzuri ya 1000 watts, naomba ushauri wa kitaalam aina ipi ni nzuri na wapi ninaweza pata.
bar ya uhakika. Pia kama wewe ni muuzaji karibu. Bajeti yangu ni 1-2 Million.
Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.