Moja ya changamoto inawakumba wengi ni Window 10 Kuweza Kufanya Auto Update ambayo inaweza Chukua Bundle lako chap na Hii huwa inachukua zaid ya GB 2+ kufanya update, first time kutumia Hii Window...
Naona Windows 10 inakula sana bando kila nikitumia modem kwenye PC tofauti na nilivyokuwa nikitumia Windows 8.
Swali;
Nini kinasababisha na njia zipi zitumike kutatua changamoto hii?
Habari wadau!
Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa.
Sasa nikiwasha...
Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za...
Kuna vijana wa hovyo wamenishawishi sana nijiunge na hii kitu inaitwa twiga Soft. Nguvu wanayo tumia nikubwa mnoo. Hebu wadau waelevu nipeni nondo za hii kitu.
Link...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na...
Habari,
A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT ni masaa ya simu kukaa na chaji kutoka ikiwa full mpaka inapoisha.
Piga screenshot kwenye A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT halafu weka hapa tuangalie. Taja na...
Pata nambari ya IMEI ya kifaa chako (*#06#)
Nambari ya IMEI au Nambari ya Kitambulisho cha Vifaa vya Simu ya Kimataifa ni nambari ya kitambulisho cha kipekee chenye tarakimu 15 kinachotolewa kwa...
1. Nini kinachangia au kusababisha katika system meseji kugoma kwenda?
Mfano unatuma sms inafeli, unarudia tena inafeli, unarudia tena inafeli unarudia tena inaenda?
2. Nini kinasababisha ujumbe...
Naombeni msaada kujua Ipi ni nzuri. katika Fuel consumption na bei inakuaje kuagiza. used from Japan. Na mengineyo wadau. Jamani nahitaji mawazo yenu chochote wakijua usisite kuniambia
Ninasomea fitter mechanical engineering Niko level two kama Una ofisi yaani workshop naomba nije nifanyie field kwako kama auto jali Kwa hapa Dodoma mjini tuu
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki...
Habari ndugu,
Naomba msaada nina wiki mbili laini yangu ya ttcl haisomi data pamoja ya kuweka data roaming lakini bado ila kwa wengine inasoma tatizo ni nini! nikiwapigia huduma kwa wateja...
Habari za muda huu wana jamii tech,, Ninaomba kufahamu app nzuri ya kuedit picha kwa simu maana kuna jamaa huko fb anadai anaedit kwa simu kama picha hapo chini ila anaringa kutaja jina la App...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.