Naombeni Msaada wa namna ya kuifanya simu inayotumia laini moja tuu ya Voda iweze kukubali kupokea laini za mitandao mingine kama Tigo, Airtel na mingine..
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
The HP ProLiant DL380p Gen8 is a versatile 2U rackmount server designed for a wide range of workloads, from general-purpose applications like file/print or web serving to demanding tasks like...
Wadau naomba mwenye ufahamu juu ya setting ya sauti kwenye king'amuzi cha Azam kupotea sauti channel 1 tu anaeweza namna ya kurejesha anasaidie maana jamaa customers service yao ni mbovu sijapata...
Hello, kama unaujuzi wowote wa Maswala ya mtandaoni, au una audience kubwa mtandaoni, mnaonaje tuwe kama watu kumi tufanye jambo. Coz kwenye swala la online earning watu Hua wanaujuzi mbalimbali...
Exciting times at SAFCO Academy! Our students are diving into the world of coding and digital learning, paving the way for a brighter future in technology. With innovative programs and dedicated...
To Tanzanian Banks, financial institutions and firms, public and private institutions, and all government authorities:
"There are four big threats to the world and to the human race. One of them...
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.
Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?
Wadau wenye kujua tujulishane.
UPDATE 3
Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list...
Habari wanajukwaa nahitaji msaada wa kupata fan nzuri ambayo itadumu na inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, awali nilipata dolphin model yake nimeisahau ila ni mwaka wa tano huu inafanya kazi vizuri...
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo...
Ni hivi, kuna kitu inaitwa YOUNG SCIENTISTS TANZANIA, hii ni maalum kwa Wanafunzi sekondari, wanabuni wazo/tatizo ambalo ni common katika Mazingira yetu ya kitanzania,
Mfano labda kuna tatizo la...
Habari wadau, huwa kuna apps nyngi ambazo zinasaidia kuongeza followers na likes kwa kulipia;nyingine ni feki na nyingine zinafanya kazi.
MUHIMU: Hii ni kwa wale wanopenda kuwa na followers wengi...
Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?
Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.