Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb . sasa nimejarbu kudownload play store...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa angu analalamika ulaji wa wa data kwenye simu yake, unaweza kukuta 2gb sinakata mchana mmoja tu ila matumizi yake anadai ni ya kawaida tu. Nilipocheki Data Usage...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Mwenye kufahamu ili atusaidie, natumia gb whatsapp ila nikitaka kutuma picha au video kwa mtu au status basi ubora hushuka mpaka najishangaa, tatizo nini nimejaribu kufuatiria kwenye whatsapp...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni wadau msaada kwa hili. 0756286835
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna Tetesi inasemekana Whatsapp wako kwenye majaribio ya kuweza kuleta feature yenye uwezo wa kuingia kwenye Whatsapp akaunti yako bila kutumia namba ya simu. Feature hii itaanza kupatikana kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Webservice ndio chanzo kikuu cha umaskini kwa IT wengi, leo nilikua nafanya malipo kwa service nazo zitumia kwenye personal projects, aise ukifanya mchezo fedha zako zote zinaishia huku...
1 Reactions
7 Replies
471 Views
Kwa yoyote anayejua VPN zenye server Tanzania anisaidie, nahitaji IP address ya TZ. Au mwenye ujuzi tofauti itakuwa poa zaidi. Asante
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Habar zenu wandug Hii no post yangu ua kwanza kabisa katika web hii. Mwanzo nlikua natumia pd davo wakatuonea wivu. Now npo guru but tatizo ipo slow sana si kama pd. Sasa nlikua nauliza may b ipo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu, nimenunua TV ya kichina mpya, iko vizuri tu. Ila cha ajabu kwenye kona juu kulia, inaonesha alama ya battery na 100%, sijui inamaanisha nini?
19 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job. 1. Full stack web developer, 2. Block chain developer, 3. Machine learning and Artificial intelligenece...
0 Reactions
4 Replies
592 Views
Na kenge, Umewahi kujiuliza au kusikia kwanini watu wanaotajwa kuwa ni matajiri duniani asilimia kubwa wanabackground ya mambo ya programming(kugonga code)?? Programming ni ujuzi wa kutengeneza...
21 Reactions
72 Replies
5K Views
Jamani ninashida na chemical Moja Ina it was FERRIC CHROLIDE
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Leo ntakuonesha namna utakavyoweza kupata domain ya .com bure kwa mwaka mzima na pia hosting ya kudumu bure kabisa ya Tsh. 0. Fuata hatua zifuatazo kwa usahihi na kwa umakini ili kuvipata hivyo...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake. Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo! TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa...
2 Reactions
0 Replies
396 Views
Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana nahitaji detail kuhusu hizi simu google...
3 Reactions
52 Replies
13K Views
Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production . Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunatengeneza Website Mbalimbali kwa Bei nafuu na Ubora wa Hali ya Juu
0 Reactions
1 Replies
310 Views
Back
Top Bottom