Habari wadau
Kuna jamaa aliazima hdd kwa ajili ya kuchukua movies. Baada ya kuirudisha nikichomeka kwenye computer unaisikia imekuwa connected ila haionyeshi .
Nimejaribu kuweka kwenye computer...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook
Hali ambayo nimeona ni tofauti sana...
Wana JF nna shida ya kujua sehem gani au chuo(short course) gani naweza kwenda kujifunza maswala za broadcasting technology based kwa radio transmitters issues au single course ya ufungaji wa minara..
Habari zenu wana jamvi, naomba tusaidiane.
Nina TV aina ya Sundar (sio Smart). Ina-support Flash driver na ina-load subtitle vizuri kwenye video. Tatizo linapokuja ni kwamba, siwezi kuongeza FONT...
Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia WhatsApp ?
Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban? Unafanyaje kujiondoa?? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii...
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google...
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono...
Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi.
Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa...
Neno artificial intellency linaleta tafsili tata haswa kwa wataalamu wetu wa lugha ya kiswahi na viongozi wa serikali maana wengine husema ni akili bandia na wengine husema akili mnemba.
Sasa...
Wakuu katika kuhakikisha mambo yanakuwa sawa,timu nzima ya AfroIT itakuwa inakuletea mafunzo ya Networking kwa maandishi na Video,Hivyo kaa mkao wa kura.Maoni na ushauri unahitajika katika...
Wadau,, hivi kwa Dunia ya sasa,,je mtu anweza kununu Lenovo thinkPad X260 au unamshauri anunue laptop ipi inayoendena na heavy duty activities lakini inatunza charge kama Lenovo X260 Ram8GB?Naomba...
Wakuu heshima kwenu.
Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp.
Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya...
Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB.
Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban...
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri kati ya Gofiber na TFiber (ttcl) ipi imetulia sana kwa maswala ya kucheza games online coz nataka nianzishe streaming.
Ipi uhakika ndugu zangu?
Na Bwn Kenge!
"Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.