Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Listen up fellow carbon-based content wordsmiths! I know times seem strange and scary with all these robots running amok. You can't scroll two lines on LinkedIn without some AI "guru" ominously...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing...
1 Reactions
14 Replies
494 Views
Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama. Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015...
17 Reactions
29 Replies
2K Views
If you've recently snagged a sleek new Android smartphone—whether it's your inaugural dive into the Android world or a long-overdue upgrade from an older model—prepare for a voyage of discovery...
1 Reactions
1 Replies
830 Views
habari zenu wanajamii naomba mnisaidie nnashida na hii software ya master video converter of any version na serial key zake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Wakuu kwema? Nahitaji kuifaham na kuifanya kwa vitendo computer networking. Kwa ambae yupo tayari kunisaidia.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habarini za weekend! Napenda kufahamu namna ya kutumia hii VPN kwenye simu ya Android maana naona kwenye setting za network ipo. Pia nini faida zake kama nikiamua kuwa naitumia na...
2 Reactions
80 Replies
30K Views
Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
4 Reactions
9 Replies
605 Views
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa...
4 Reactions
89 Replies
5K Views
www.nairaland.com/attachments/17840352_9wjx6wta400x400_jpegf0bcd5c4751999140748286dd2d4488d Alameen Karim Merali, from Tanzania, is a 21 Year Old boy who programs his own games and has them...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rula
3 Reactions
22 Replies
933 Views
Habari za mda ndgu wana JF, Mm ni miongoni mwa watu naopenda sana maswala ya computer networking na nshaanza kujifunza installation and configuration l, lakin kitu kinachoniumiza kichwa ni nataka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Habari za wakat huu... Nadhani mko poa leo naomba tujuzane ussd code's zinatufanya kupata huduma mbali mbali ya ktk mitandao tofauti tofauti tunayoitumia kila siku ktk maisha yetu ya kioa...
3 Reactions
18 Replies
34K Views
HABARI Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna Thread niliwahi zungumzia juu ya Apps hizi scam za Mikopo. Sasa Leo tujaribu kuangalia kwa upande wa matapeli wa tuma kwenye namba hii ambalo ni gang kubwa na wanafunikwa na kivuli Cha...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote...
1 Reactions
19 Replies
848 Views
Wandugu Salama Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom