Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina masomo mengi sana naona kabisa naweza kushea na Jamii Sasa nataka ni upload YouTube na kwenye MITANDAO ya kijamii. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza natakaiwa kuwa na vifaa gani?! NB...
1 Reactions
4 Replies
473 Views
Eneo niriropo ni la milima milima unaweza kukaa ndani mtandao haukamati kabisa ukatoka nje ukapanda tu ngazi mtandao unapanda Au ukashuka tu kidogo mtandao unajaa Hapa airtel na tigo hazishiki...
1 Reactions
7 Replies
549 Views
Nyingi zimepita kama Pirate bay, kat.ph na nyinginezo lakini nyingi zimefungiwa, Ipi inatumika 2024 bila kukudai Vpn na kukuletea vitu tofauti na ulivyoomba? Toka asubuhi najaribu jaribu bado...
2 Reactions
9 Replies
593 Views
Natuma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu[emoji116] Sidukuliwi kweli?
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilinunua mini fuel pump kutoka china kwa malengo ya kuanzisha kituo kidogo cha uuzaji wa mafuta huku vijijini ninapofanyia kazi. Nimekumbana na tatizo la kwamba hii mashine ilitengenezwa kwa...
0 Reactions
9 Replies
525 Views
Huu ni wakati wa uchaguzi kuna blogu nyingi zinazoripoti na kutoa habari zingine za uchaguzi wetu ndani ya nchi na nje watu wamejiunga kwenye blogu hizi , majukwaa na hata wengine kufuatilia watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu. Nimekumbwa Na tatizo la kutopokea WhatsApp code kwa wiki moja sasa naomba msaada wenu jamani Maana kila nikijaribu inanionesha hivyo 😰😭
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Moja kati ya misingi mitatu ya usalama wa mifumo ya TEHAMA (System security) ni Confidentiality. Hakikisha zile taarifa nyeti zipo mikononi mwa watu walioidhinishwa (Authorized users) na si...
4 Reactions
17 Replies
777 Views
Habari wakuu, Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g, Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Naona jamaa leo wapo serious ngoma imebuma hakuna namna tena kwa wale watumia gb wahatsupp wote chali.
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink...
16 Reactions
84 Replies
6K Views
Nimefungiwa WhatsApp yangu Kwa mda sasa inakua hivi Naomba msaada
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store kwanza hii hii...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habari na JF, now days kumekuwa na wingi wa laptop, hivyo kupelekea ongezeko la wauzaji wa vifaa hivyo hasa mtandaoni. Waswahili wasema kwenye mengi Pana mengi, laptop zimekuwa very cheap kila...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ndugu Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗕𝗼𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟯 Moja Kati ya kampuni inayokuja kwa Kasi mwaka 2023 ni Infinix ambayo imekua ikitoa simu za aina mbalimbali zenye muonekano mzuri, picha, uwezo , ufanisi nk. Leo...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Ehe Wapwa habari za usiku Huu harakati za kumtafuta maokoto zimekuwa Nyingi kwelikweli Nimeona weekend nijipumzishe na movies lakini pia na games Kwa yeyote kweye games za mpira ningependelea...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Back
Top Bottom