Heshima kwenu wadau.
Naomba kuuliza kuhusu Poweramp Player kama kuna mtu ambaye amewahi kulipia hii Player anipe maelekezo kidogo. Naweza kulipia kutokea kwenye account yangu ya benki Moja kwa...
COMPUTER LITERACY
UTANGULIZI KUHUSIANA NA COMPUTER
Nini maana ya computer
Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo...
Mada
Software Development
Mwelekeo wa tasnia ya kutumia kutekeleza program yako
1. Ama. Web development
2. Mobile App development
3. Ama Desktop App development
4. Ama Analytics Systems
N.k
-...
Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep"
Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja...
Habari naomba kuuliza nina decorder ya Azam tv resolution inayosoma kwenye hdmi niliyonunua dukani ni 1080i na quality ya picha sio nzuri ,,
Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao...
Hasa kwa complex project
Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL
Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana
Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp...
Kwema wazee?
Nataka nifanye connection ya cpe kwa umbali wa km 1.
Baada ya kufanya research nimeona kuna hivi vifaa wanaita cpe mfano tp-link cpe610 ambazo kuna hizi kampuni za kutoa huduma ya...
Nimeipenda sana simbanking mobile App kutoka benki ya CRDB.Hii app inapatikana kwenye playstore na inakuwezesha kufanya mambo mengi yakiwemo
Kufanya cash transfer kutoka kwenye account ya CRDB...
Wapendwa naomba kwa yeyote mwenye uelewa Mpana juu ya haya matoleo mawili Samsung note 10+ na google pixel 6,ipi ni Simu bora zaidi kwa matumizi ya mtanzania anayependa vitu vikali.
Imekuwa too much sasa, video unaicheki youtube unaanza kusoma comments za mrejesho, ushauri, ukosoaji, nyongeza, n.k.
Ila unakutana na comments za kuomba likes.
Wanakera sana hawa watu
Uki...
Wakuu kwema?
Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online
Please nitashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.