Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa...
0 Reactions
12 Replies
711 Views
Habar zenu wadau. Nataka kununua laptop lakini mimi sio mzoefu/sana na naogopa kupigwa mana siku hizi nimeskia wafanyabiashara wajanja wanauza laptop used kwa bei ya mpya, wanachofanya ni...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye...
0 Reactions
4 Replies
305 Views
O
1 Reactions
3 Replies
428 Views
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda...
2 Reactions
10 Replies
716 Views
Usije ukalia baadae, useme hukujua.[emoji116] 1. Kama umepokea ujumbe kutoka Kwa mtu unayemuamini sana Mfano anakwambia Kuna site ya kuinvest na unapata faida kubwa Cha kwanza FIKIRI. Pili...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zang wa JamiiForums, laptop inatikiwa na ram ilikuweka game kwa kucheza mfano sasa Pes 2023, Call of Duty 3, Fifa 2024 inatakiwa Ram ngapi ilikucheza bila kugom goma
2 Reactions
8 Replies
649 Views
Naomba kuuliza; Kipimo cha treni kwenda kasi ni kuchongoka kwa kichwa chake au mifumo ya ndani ya injini? Nauliza hivyo kwa sababu nimeiona video siwezi kuidownload mkurugenzi wa TRC akisema kuwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
1 Reactions
1 Replies
527 Views
Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo...
0 Reactions
4 Replies
457 Views
Niliwahi kum unfollow Dr mmoja anayewasema sana wanaume, ila kila nikifungua simu naona ukurasa wake eti suggested for you! Kwa mwanaume yeyote ukitaka kuishi kwa kuongezewa msongo,mfuate huyu...
1 Reactions
3 Replies
242 Views
Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu ...samsung a10s
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Aisee mi siwezi kutumia hiki kidude wanachokiita SIRI (AI)…
1 Reactions
8 Replies
441 Views
How to reset your phone? The generic steps for factory reset will involve the below similar steps: Go to the Settings app in your phone and find System. Select Reset Option. Reset option usually...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha /...
1 Reactions
10 Replies
855 Views
Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia...
0 Reactions
9 Replies
410 Views
Back
Top Bottom