Hakikisha unatumia vidokezo hivi vya Android ili upate mengi zaidi kutoka kwenye kifaa chako. Idadi kubwa ya mbinu na vidokezo vyenye manufaa vilivyofichwa ndani ya vifaa vya Android ni sehemu...
Niaje wananzengo?
Direct to the point.
Kwa wale waumini wa apps ambazo zinahitajika kufanya manunuzi ili upate baadhi ya huduma, karibuni sana hapa.
Utapakua apps unazozitaka na hata games...
Habari WanaJF,
Nimeandaa hii tutorial kuwasaidia watu wenye ofisi ndogo ndogo na watu binafsi ambao wanataka kuwa na website kwa ajili ya biashara zao au matumizi binafsi lakini kutokana na...
Habari wadau,
Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya...
Siku za hivi karibuni imetokea ajali ya treni mkoani Morogoro, ajali hii imehusisha basi dogo aina ya coaster linalofanya safar zake Kihonda - Mjini na treni la abiria linalofanya safari za Dar -...
Posta inakwama wapi??
Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika...
Kwa sasa, vifaa vingi ambavyo vinatumia port ya USB Type C ambazo ni latest, zinatumia aina ya USB Type-C 3.2 ambayo ina Max speed ya 20GB kwa sekunde. Teknolojia inazidi kubadilika na dunia...
Habari za mida,
Naomba kusaidiwa router gani ni nzuri kwa matumizi ya taasisi ambayo inakuwa na watumiaji 500 kwa mara Moja wakiwa connected kwa wired na wireless?
Na kipi natakiwa kukiangalia...
Mambo vipi bloggers
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili.
Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo...
Wakuu nilipata wazo la kutafuta Cv za watu maarufu duniani na kutengeneza blog ili baadae nije niiunganishe na adsense .
Blog yenyewe ni hii hapa www.worldfamousresumes.blogspot.com nimetafuta...
Habari zenyuu,,
Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller,
kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati...
Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc...
KUJAZA TASK NA SUB-TASK.
Watumishi wote wanaingilia kwenye mshare WA kwanza kushoto.
Then mshare WA kwanza kulia anaingia supervisorkuset performance indicator, tarting date na ending date...
Wakuu salama?
Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na...
Habari Wanajamvi,
Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja.
Je Unit Siku Zikiisha Main Meter...
Habari zenu wakuu, kila kazi zinaushirikiano.
Hivyo ningependa kuwa na ushirikiano na mafundi wezangu kwa kila kitu.
Hapa tunaweza kushare Firmware, Au Tricks mbalimbali za kutatua matatizo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.