Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Upo tayari kujua tunachokuletea leo? TECNO ilitambulisha Dynamic 1, mbwa wa AI roboti, katika MWC pale Barcelona mwaka huu wa 2024 Februari 26. Kwa muundo wake rahisi kutumia na vipengele vya...
2 Reactions
4 Replies
441 Views
Kwa Tv's nzri inashauriwa ununue OLED, Humu JF watu wengi wanaomba ushauri kuhusu TV gani nzri, wanaelekezwa nunua LG, sumsung, TCL, hisense, Sony even if zinatumia teknolojia ya LED ambayo sio...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa kilivyojieleza, Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana Ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu...
6 Reactions
218 Replies
26K Views
1. Telegram (Only Available as App) 2. Instagram (App consumes data than web) 3. Tiktok (Both App and Web consume data) 4. Facebook (App consumes data) ____________________________ 5. X (...
5 Reactions
7 Replies
880 Views
Begi ukilikuta njiani kuna uwezekano mkubwa wa uhalifu kuhusika, aidha limetupwa wakati majambazi yakimkimbiza mwenye nalo, majambazi waliiba ila wakalitupa kupoteza ushahidi hasa wakiwa...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri...
5 Reactions
8 Replies
515 Views
Xiaomi note 11 Samsung galaxy s8 Samsung galaxy A32.
4 Reactions
95 Replies
8K Views
Najua watu wengi mnatumia app ya Xender kuweza kurusha vitu mbalimbali ila Sio Salama kwako ? [emoji848] App ya Xender ni moja wapo ya app ambayo inatumiwa Sana ulimwenguni kwani husaidia kuweza...
9 Reactions
29 Replies
7K Views
Mauzo ya bidhaa za Kampuni ya Apple (iPhone) yameshukwa kwa kiwango cha Asilimia 24 ndani ya wiki sita za kwanza tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2023, hiyo ni kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na...
1 Reactions
0 Replies
499 Views
Habari za weekend wakuu.. Mi mgeni wa Technologia, naomba mnisaidie tofauti kati ya Smart Tv Flatt Screen na LED Tv, na ipi unge recommend mtu kununua kwa matumiz ya familia
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Wapedwa Kuna mtu aliniunga na huduma ya kupata sms za mtu bila yeye kujua mwisho wa siku ikauganishwa na A/c yangu ya Tigo pesa ndani ya wiki mbili washakomba elfu 60,000. Na huduma au sms za...
1 Reactions
7 Replies
879 Views
Wakuu, samahini nilikuwa naomba niulize kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job. 1. Full stack web developer, 2. Block chain developer, 3. Machine learning and Artificial...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id: MP240304.1650.T99101, Mpokeaji...
0 Reactions
7 Replies
644 Views
Habari ndugu mimi natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada anaefahamu namna ya kuiwezesha ili iweze kusoma data nimejaribu kuwasiliana na ttcl na nimefuata...
2 Reactions
9 Replies
717 Views
Habarini Nitatumia lugha nyepesi Ili Kila mwenye uhitaji aweze kufaidika Kumekuwepo na matatizo mengi yanayoripotiwa na wamiliki wa hizi TV za kisasa hasa kwenye upande wa kioo ama kutowaka...
16 Reactions
27 Replies
4K Views
Habarini za Asubuhi wana JF Niende direct kwenye jambo Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jambo wa ndugu zangu Nakuja kwenu ku omba msaada Kama kuna mtu anajuwa solution ya SIM yangu Nina SIM yangu TECNO POVA aita ki ku instal application mpaka ni Download kupitiya Playstore tu
0 Reactions
4 Replies
397 Views
Wakuu napata wapi contact numbers zilizofutwa automatically na simu yenyewe au ndo zimeshapotea mazima?
3 Reactions
21 Replies
727 Views
Back
Top Bottom