Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay...
39 Reactions
540 Replies
99K Views
Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo. Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni...
1 Reactions
6 Replies
405 Views
Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana
0 Reactions
8 Replies
747 Views
Tumepiga kelele weeee ila wapi!!!! wanatubania njia za kupokea pesa kirahisi kutoka nje huku wao wanazunguka tu na viti huko maofisini wakisubiri mishahara yao wakati vijana wasio na ajira...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Je, Inawezekana kuonyesha mpira kwenye TV kwa kutumia smartphone? If yes naomba kujuzwa vitu muhimu kama cables needed and apps. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
4K Views
AI imeendelea kuthibitisha kuwa inaweza kuona picha, kufanya hesabu, na kadhalika. Mifumo mingi ya captchas hutegemea picha, hesabu, herufi na sauti kucheki kama mtumiaji ni bot au binadamu. Kuna...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Habari zenu Guruz wa jukwaa la Tech. Mwenzenu simu ya wife ameset imekuwa linked na Google kwenye message na sasa haitaki tena. Sasa kaniachia msala wa.kuiondoa ili ibaki kawaida Sqsa hio G hio...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini wakuu Tangu kifurushi cha startimes kimeisha nikaamua kuchomeka waya ya antenna direct kwenye tv na kuscan channel. Nimepata channel zaidi ya 10 ITV, TBC, STARTV, CAPITAL TV, CH10, EATV...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza. Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi. Nafahamu baadhi ya website...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
INVERTER NI NINI? Inverter ni kifaa kinacho badili umeme mdogo wa Direct Current (DC) kuwa Alternative Current(AC) na kuukuza ili uweze kkutumika kwa matumizi ya vifaa vikubwa vya nyumbani kama...
10 Reactions
51 Replies
20K Views
Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix...
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita. Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6. Binafsi nilisha update lakini sioni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Ndugu zanguni? Mimi nahitaji nitumie umeme wa solar maana nilipoweka makazi umeme wa tanesco haujafika. Nataka nitumie i) Taa (04) ii) Kuchaji Simu (07) iii) Sabufa (01) tu . Je, napaswa...
2 Reactions
61 Replies
9K Views
Wakuu habari za saivi, Nilikua Napenda kujuzwa Zaid kwenye option ya developer unaweza kufanya vitu gani kupitia apo
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari. Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa unlock code kwani nimechoshwa na kuunga bando ktk lain ya tigo maana ni gharama sana! Naambatanisha na emai ya simu. Network: TIGO Model...
2 Reactions
21 Replies
11K Views
Kwema? Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit. Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba...
40 Reactions
81 Replies
13K Views
Back
Top Bottom