Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hii simu nimeielewa ile mbaya ila siijui kiundani naombeni msaada wenu mnaozitumia hizi au mliowahi kutumia. Please, toa kasoro kwa kuonesha experience uliyonayo siyo ya kusikia au kuhisi.(uwe...
4 Reactions
5 Replies
618 Views
eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Dell inspiron 15 1564 Ni ya muda kidg, Mkanda, na imepasuka kidg kwenye kioo nje Nahitaj kujua makadirio ya matengenezo na upatikanaji wa spareparts maana ni pc ya kama miaka 10 nyuma hvi.. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Kila siku, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kukua, ndivyo inavyoleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Watanzania pia wanafaidika na maendeleo haya...
0 Reactions
4 Replies
914 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar , Kuna ndugu yangu anasoma Mechanical Engineering so ameniambia wanahitajika kuwa na laptop kulingana na course yao husika Hivyo basi nimekuja kwenu kuuliza Ni laptop aina ipi na yenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali. Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Whatsapp imeban namba yangu. Je, naweza kuifungua? Msaada wenu wakuu.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini, Naomba msaada najaribu kujisajili kwenye mfumo wa rrims wa latra lakin mahali napohitajik kuweka namba ya nida nikiweka inakataa je ni mtandao au kuna tatizo la kiufundi zaidi.
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Ili niweze kutumia WEBMONEY yaani kutuma na kupokea pesa natakiwa ku verify account na kitambulisho? Chief-Mkwawa
1 Reactions
4 Replies
277 Views
Kumbe kuna friji ni hadi mvua inyeshe ndio inagandisha vizuri na kupooza. Hapa nimekuja kujua hili kwamba kuna friji zinafanya kazi kukiwa na mvua tu au baridi ndio linagandisha na kupooza...
0 Reactions
10 Replies
527 Views
Habari Wanajamvi,Awali ya yote niwatakie maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka.Ishu yangu mimi ni hii!!! nawezaje kutumia screen mbili kwenye kompyuta moja? Yaani,wakati nimefanya kazi flani ktk...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Nauliza wakuu kwa ms Words unawezaje kuziandaa hizi tiket kwa ajili ya printing? Najaribu hapa ngoma inanitoa
3 Reactions
14 Replies
768 Views
Habari za jioni wakuuu nina mashine photocopier aina ya CANON 2520 IMAGE RUNNER (2014) nataka kuiunganisha na computer ili niwe na print na kuscan moja kwa moja nimejaribu kutumia CD walizonipa...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Ni swali ambalo nimekaa kujiuliza mnawezaje tumia MB 490 Kwa siku 7. Binafsi nimeshindwa.
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wana tech habari ya muda huu, nataraji kuwa kila mmoja wetu ameamka salama kwa wenye changamoto ya afya mungu azidi kuwapigania. Nisipoteze muda kwa wanao jua ni namna gani naweza kudownload...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari WanaJF naamini Kuna maProfessional wa kupiga picha na kutengeneza passport humu ndani. Mara nyingi unajikuta ukitengeneza passport inatoka vizuri lakini kichwa kinakuwa slightly or totally...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Back
Top Bottom