Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa...
Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana.
Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama...
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023
Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
Simu ya Google pixel 8 series imekuja ikiwa na uwezo wa kutoa picha Kali zenye mvuto ndani yake yaani unaweza sema uko mwezini.
Achana na kamera ya 50mp iliyopo ndani, kuna Teknolojia ya Akili...
Wandugu,
Natengeneza an auction application kwa kutumia mySQL na perl, hizi ni project requirements.
Nahitaji algorithm/code/commands za ku integrate a perl login kutoka mySQL database...
Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa.
system requirements
OS: Windows 10 (probably 64 Bit)
RAM: 8 GB.
Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD...
Ndugu zangu wa JF, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na maandalizi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya, 2024.
Nimeamua kuja hapa JF kwa lengo la kukaribisha Guest Posts kutoka kwenu wadau na Wataalamu...
Habari wakurungwa,
Nina shida na vitabu mbalimbli vya kiacademic mwenye kufahamu wapi (mtandaoni, aidha telegram au website au mahali pengine popote) ambapo naweza ku access free pdf books hasa...
Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba.
Hata hivyo...
Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo...
Mwaka huu Infinix wametuletea series Bora kabisa ya simu mpya infinix Note 30 series zikiwa na feature kedekede ndani yake Leo ngoja tuzungumzie kuhusu 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗡𝗼𝘁𝗲 𝟯𝟬 𝗽𝗿𝗼.
Infinix Note 30 pro...
Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi?
Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu?
Naomba ushauri
Habari wakuu nilikuwa natumia instander(clone ya instagram) kwa muda sasa,
Hivi karibuni imeanza kuomba update lakini kila nikiupdate sifanikiwi kuupdate,
Hatimaye nikaamua kuuniinstall ili...
Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi...
Kwema wadauwa tech.
Samahani wimbo tajwa hapo juu umenitatiza nikisikiliza kwa earphones
Unapiga as if mtu anakuwa anahimisha speaker.
Mdundo unapiga left unahamia right then left. The process...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.