Nilikua na Dunu Trident D-12
lakini wamenifanyia unyama wajanja
Ushauri kama umetumia moja wapo ya hizi bidhaa iBeats au earpods
Naulizia earpods na iBeats kama ushawahi...
Microsoft today launched Outlook for Android and iOS phones and tablets, based on the application it acquired when it bought Acompli last December. These new applications will go live in their...
Habari wakuu, charger yangu ya dell imeharibika lakini nimegundua kuwa cable ya kuchemekea kwenye laptop bado ni nzima.
Sasa nimechukua universal adapter nataka niunganishe kichwa cha dell ila...
Kuna app nyingi za mitandao ya kijamii zimetengenezwa hapa duniani mpaka sasa hivi.
Je ni mitandao ipi kati ya hii ungependelea kuitumia kwenye komputer kuliko kwenye simu?
1. Facebook
2...
Naamini kila mtu hum ndani anaifahamu kupatana.com
1.swali lang ni hivi mmiliki wa hii site anafaidikaje? 2.je anategemea google adsense pekee yake,
3.na vip kuhusu app yake developer ni wa hapa...
Gmail walikua wanatoa hii offer, ila wame discontinue tokea mwaka jana, nani anaifahamu website au simple software ya kutuma free sms online?
cc Chief-Mkwawa C6 et al.
Habari Wadau.
Naishi Dar, Nahitaji kujua tofauti kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy, nahitaji kununua gari moja kati ya hizo.
Sina uzoefu nazo na ningependa kujua kuhusu ubora, ulaji wa mafuta...
Ninafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 2318, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing.
Napata shida kujua idadi ya kurasa...
Nitajuaje kama fan (fan ya kawaida ile yenye stand) au Blenda (la kusagia juice) ninalonunua ni orijino au fake? Nina mtu amesema twende nae K-Koo kununua na ananiamini kwamba mimi ndio mtaalamu...
Wakuu naomba Msaada,
Nipo maeneo ambayo internet ni ya edge,Kwenye PC ni kero tupu Kwa mitandao yote,tigo,vodacom,airtel hadi TTCL .hivi ipo njia rahisi na nafuu ya kupata network ya 3G ?
Baada ya zuckerbeg kutufanyia vioja..sasa dawa imepatkana..whatsapp plus version 6.76. imekuja na Ant ban,material design na meng tu..
Natumia plus bila shida sasa..No ban any more. Finally...
There are times when you are busy surfing,
On visiting some sites though, There are these Crazy pop-up Ads which seem to be very cleverly set to block your way to the contents of the Main page...
Habari zenu wakuu! Naomba kutengeneza hii thread maalum kwa ajil ya hii operating system, mim nimeanza kuitumia siku chache zilizopita lakini nilichokuja kuipendea mbali na kuwepo kwa tools nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.