Napenda kutoa shukrani kwa Jamiiforums na member wote katika jukwaa hili, muda mrefu nilikuwa na wazo lakufungua blog ila sijui hata pakuanzia , nashukuru nilipitia thread mbalimbali kuhusu namna...
Habari wadau wa Tech & Gadgets.
Nikijaribu kufungua BlackBerry World inatokea hii error sms "An error has occurred and BlackBerry World must close. Try waiting a few minutes and then reopen...
wana jf kuna application naziona kwenye downloaded apps je ni kawaida kujiingza zenyewe ama zina madhara
alafu kwa kweny greenfy znakua hivi
C.C Chief-Mkwawa
Heshima kwenu wakuu na wajuzi wajuzi wa mambo
Ipi ni simu bora kati ya hizo mbili tukianza kuzichambua kipengele kimoja kimoja ?.Na je ipi ni simu bora yenye ufanisi kiujumla/overal...
The Man Who Invented the Aeroplane
Before the Wright Brothers achieved the first successful heavier-than-air controlled flight on December 17, 1903, hundreds of women and men attempted to...
Habari wakuu toka nimejiunga jf sijawahi kuona programming (coding) question limekuwa solved or kuwekwa mezani na kusuluhishwa kihalali.
My question, are a programmer or theoretical programmer?
Habari JF.
Naomba Msaada Kujua Tatizo.Nilikuwa Natumia Simu Tajwa Hapo Juu Ilianguka Kwa Bahati Mbaya Ikazima.Nikiiwasha Inavibrate Tu Haiwaki Wala Kutoa Mwanga Naomba Kujua Tatizo Nini !
In 16th May, 2013 the price per TBL share was 3,020 Tshsand for TCC it was 6,000 Tshs per share but in July, 2013 period it went to 3,240 Tshs for TBL and 6,500 Tshs for TCC. In 31th December...
Poleni kwa majukumu coders wenzangu, hapa nina tatizo ambalo linanizingua na ninahitaji a second eye kutoka kwenu. Natumaini Kiswahili changu cha Kenya kitaeleweka.
Kuna mradi ninaofanya na...
Hi wadau!!
Can you make call from AT&T tablet Samsung SGH I957? if you look for specs on gsmarena it has GSM but ukicheck in built program no dial pad.. Help on how to add dial pad..
Nawasilisha....
Wakuu nina ka'simu kangu ka Galaxy Note 1 N700, nimejaribu ku'force Update kwa kutumia Links za kule Xda Developers ila nikiweka Recovery Mode inagoma kabisaa!!
Sasa nilikuwa naomba kuelekezwa...
nimepata maswali meeengi kuhusu hii huawei y530 basi nimeona nishee nanyi machache ambayo nimeyagundua kwaa siku chache ambazo nimekuwa ninaitumia
kwanza kabisa hii ni model ya y530-u00(custom...
Habara wakuu, kuna mtindo ambao watu wamezoea ya kwamba ilimradi charger ina uwezo wa kuingia kwenye simu yake au laptop au device nyingine yoyote, basi wanaitumia ku charge device zao.
Ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.