Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman naombeni kuuliza unawezaje kutengeneza link ya document Kwa mfano kuna document ya Microsoft word nataka niweke mtandaoni ambapo naweza mwambia MTU aigoogle aisome.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
RIVEwana JF NAOMBA ANAYEJUA JINSI KUGAWA HARD DRIVE DISK KUWA MBILI AU TATU LOCAL DRIVE DISK ,NASHUKRU SANA KWA WENYE KUFAHAM WANIELEKEZE ASANTE
0 Reactions
10 Replies
4K Views
WanaJF, Anayejua kilichowapata Vodacom kwenye data service atufahamishe. Leo ni kama siku ya tano hivi internet yao ipo chini mno yaani ni sawa na hakuna hasa eneo la Kigamboni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kuweza kungeza speed ya modem yangu. Hili tatizo limeanza takribani wiki tatu zilizo pita inasoma 2g mda wote na speed ni ndogo sana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waumini naombeni msaada, simu ya wife Samsung Note 3 imezima baada ya kudondoka ndani ya ndoo ya maji. Je hii simu ndo imeshakufa au inatengenezeka? Kama inatengenezeka niende wapi kwa hapa Dar...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Modular smartphone ni nini: Hizi ni smartphones ambazo zimeundwa kwa dhana ya open hardware (dhana ambayo inashabihiana na open source software kwa upande wa program). Maana yake ni kuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Natumai mu-wazima kabisa.............well,kama uzi unavyojieleza hapo juu kuwa ni jinsi gani unaweza kuondoa double blue ticks za whatsapp pale mtu anapokutumia msg,kisha...
4 Reactions
42 Replies
10K Views
Anayejua application yoyote nitakayoweza ku-download kwenye simu yungu ili nipate option ya kuchangua sauti ya kike. nina shida nayo sana nataka niifanyie kazi. asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Naomba mwenye 1.frequency 2.symbol rate na 3.polarization za KBC CHANNEL 1 na K24 anipatie. ....NINA KU-LNB TYPE, NA DISH...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Today WhatsApp launched their web client in a way that is sure to upset and disappoint a lot of people. WhatsApp is a very popular instant message solution competing on the same market as...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
"The purpose of a deal, which is still in the works, is to support the development of SpaceX satellites that could beam low-cost internet around the globe to billions who don't have it." A source...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nina huawei p6 ambayo inagoma kumalizia kuwaka....yani inawaka hadi ikifika kwenye logo ya huawei ndo inaishia hapo hadi chaji inaisha... Nimejaribu kuireset imegoma...nimejaribu kui...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muujibu wa mwanasheria wa EdwardSnowden, anasema mteja wake hajawahi kutumia iPhone kutokana nasababu za kiusalama. Mwanasheria huyo anasema iPhone ina softwaremaalum ambayo inaweza kuwezeshwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa jamaa kama ni wizi basi wamekubuhu. wana vifurushi vyao ambavyo unaweza jiunga halaf kikaja kuisha hata hujakitumia. mimi binafsi nikicheck salio kwenye line yangu nina 1.8 GB lakini speed ya...
1 Reactions
102 Replies
10K Views
https://web.whatsapp.com/ Sasa unaweza kutumia whatsapp kwenye browser! Officialy! Nadhani unahitaji kutumia chrome browser. Today, for the first time, millions of you will have the ability to...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndg WanaJF Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, blog yangu ina views wachache sana kwa siku takribani 100 nifanye nini ili kufikia 5000 views per day?? Natanguliza shukurani
0 Reactions
26 Replies
4K Views
habari zenun wadau naomba msaada wa software ambayo itaniwezesha kudownload movies ,games fast
0 Reactions
8 Replies
3K Views
HP Laserjet Cartirage 85A ya printer yangu imeisha wino nikiprint baadhi ya maandishi yanakuwa hayaonekani vizuri,kwa wenye kufahamu namna ya kurefill naomba msaada na kama kuna madhara ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu Mdogo wangu jana ametapeliwa simu yake aina ya HUAWEI.... Kuna namna yoyote tunaweza kufanya ili aipate simu yake? Anayejua anisaidie tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Website ya UCC imekuwa hacked,wasimamizi vp?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom