Heshima kwenu wadau,
Ni hivi nina laptop aina ya Lenovo siku ya jana ilianza tabia zisizo faa. kila nikiiwasha display inakuwa nyeupe harafu baada ya muda inatokea rangi ya puple iliyochanganyika...
Wanajamvi salam! Nimenunua tecno h6 ambayo imatumia dual simcard lakini nimeshindwa kuweka hizo line maana hata sehemu ya kuweka laini inaingia nusu laini moja! Wapendwa naomba msaada jinsi ya...
Hii itakuwa rahisi sana mtu wangu, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mtu wangu, pata picha...
Nimekuwa nikisikia hii tekinolojia kwenye vyombo vya habari, naomba mwenye kujua anipe elimu, je inafanyaje kazi na je kitu gani hiki na malengo yake ni yepi, nawasilisha.
Wakuu wale wadau wa Device za Apple tupeane maujanja ya tweak na apps kwa device ambazo zimekua jailbroken
So far hizi ndio tweaks zangu, kama unajua ipo kali tupia twende sawa
Wakuu nina cm ya lg optmus f200k (vu2) nikijalibu kutumia vodacom ussd kama za kuulizia salio au mpesa inakataa inaonesha connection problem or invalidmmi.
Msaada tafadhar
BGR
This is the Samsung Galaxy S6 Unpacked
EXCLUSIVE
galaxy s6 concepy
By Jonathan S. Geller
Wednesday January 21, 2015, 11:35 AM
Samsungs Galaxy S5 was a monster flagship, except weve been...
Hichi kitu kinanitatizaga sana ninapofungua page ya web flani zen unachagua kitu kwa Kukiclic inakudirect kwenye page nyingine ambayo ukudhamiria.
Tatizo hili nimeliona sana kwenye PC but nlikuwa...
Nina mpango wa kunua King'amuzi cha Startimes kinachotumia dish. Hivyo naomba kwa yeyote ambaye ameshanunua na anakitumia anijulishe kuhusu ubora wake. Je, hakisumbui kama vile vingine...
Natumia TECNO 635 nikiweka laini ya TIGO Inagoma kufungua OPERAMINI,,Lakin lain ya voda inafungua kama kawaida..kwa wale wazoefu naomba mnisaidie,,maana kwenye TIGO Nimejiunga bundle la mwaka..
Habari?
Nina tatizo kwenye pc yangu nikitaka kuclick kwenye notification ili niview labda like,qoutes, haikubali kabisa. Pia hata ninapotaka ku reply kile kibox kinakuja cha kyenyeji sana, hakina...
Bringers of Light & Conversation with God by Neale Donald Walsch, Zen and the Art of Happiness by Chris Prentiss, New-Psycho-Cybernetics by Dr. Maxwell Malta na vingine vinavyoweza shift my...
The US has secretly equipped at least 50 law enforcement agencies with radars that enable their officers to see through the walls of the houses
The agencies, including the FBI and US Marshals...
Habari wakuu, Nina iPad yangu,napoiwasha inawaka fresh, tatizo lake kubwa nipale napotouch screen kwa ajili ya kuunlock inasumbua mpaka ni touch mara kadhaa ndio inakubali kufunguka, msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.