Habari wakuu.
Kuna game moja nimewahi cheza kwenye simu jina lake nimelisahau iko hivi.. kwenye screen kunatokea karata nne tofauti tofauti... then inakuelekeza kuchagua karata moja.
Kimoyo moyo...
Naomba ushauri wa Tablet gani nzuri niweze kununua. Naomba mnipatie aina 3 tofauti za Tablets na mnaweza mkaniwekea na bei zake na ni maduka gani naweza kwenda nikapata.
Mimi niko Dar es Salaam.
These days, the power and functionality in a palm-sized smartphone would have taken up an entire storage room in the 1960's. Today, your cell phone is a constant companion, a pocket- sized link to...
natengeneza website kwa kutumia drupal cms, moja kati ya page zilipzopo ni page ya kuuza vitu online,ila shida yangu ni modules gani ziko poa na ni rahisi kutumia ambazo zina deal na...
nina account ya paypal na tayari nimeshaweka paypal code ambazo wanatuma kwenye internet banking ila tatizo sioni link au sehemu ya kuhamisha pesa kwenye banking account kuja kwenye paypal...
​
Habari za Mchana
ninaomba msaada kwa anaefahamu vizuri kuhusu toyota primio nwe model nataka kununua sema naogopa kukurupuka vitu muhimu ninavyopenda kujua ni
Ulaji wa Mafuta as ina...
Habari wadau wa technology!?
Nina moderm ya zantel na vodacom! Moderm ya zantel inaweza kuandika namba na kupiga na pia kupokea calling ikiwa kwenye laptop.
Moderm ya vodacom haina hiyo service...
Niliwatangazia kuhusu elimu ya electronics,napenda kuwatangazia kuwa
mafunzo haya yataanza tarehe 2/2/2015.
Mafunzo haya yanalenga katika kujifunza namna ya kubuni vifaa mbalimbali ya electronics...
Habari Wakuu,
Kuna mzigo nimeorder toka ebay na leo nimepata notification kuwa umetumwa. Sasa swali langu ni kuwa NAPATAJE MZIGO wangu pale utapofika endapo Shipping address niliyoweka HAINA...
Uhuru wa mtandao kudhibitiwa
Rais Barack Obama ametoa wito wa kuwekwa sheria kali za kudhibti matumizi ya mitandao huku waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon, akitoa ombi kwa mitandao kama...
Mbona kwenye windows phone 920 yangu application ya jamiiforums haipatikani? Hata niki search kwenye application stores inakataa.haya msaada tafadhali wajuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.