Habari wandugu,
Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu.
Nina shida kidogo inanisumbua maana najaribu kuunganisha kufurushi cha omg kwenye ipad yangu ila speed yake ndo ndogo sana huwezi hata...
Wakuu wapi naweza pata hiyo connector? Nnayohitaji ni yenye 15 pin connector, ina 5 wires zinazoingia kutoka kwenye Power supply na tano zinatoka. Nahitaji kureplace kwenye desktop, HP.
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba msaada kidogo kutoka kwenu. Nataka kutengeneza video shoot kwa ajili ya ku experiment gunshot muzzles nilizokuwa nazo za Adobe After Effects.
Kama kuna mtu...
Mtandao wa TTCL internet umeendelea kuwa kituko kwa huduma ya unlimited internet kuwa ya ovyo, huku wakiendelea kupokea fedha za malipo za wateja cha ajabu ttcl ndio walipewa mamlaka ya kuhodhi...
Nchi za marekani na uingereza zimekubaliana kushirikiana pamoja katika ulinzi dhidi ya mashambulio ya kimtandao. Kupitia kitengo cha pamoja (joint cyber-cell), nchi hizi mbili zitashirikiana...
Wakuu kuna desktop ya famili hapa home nilikuta kuna dogo kabofya mpaka ukiwa unaiwasha inaitaj uweke pincode ndo ifunguke kitu ambacho siyo kizur naitaj niondoe systerm ya kuomba pincode wakat...
Qsat 11g yangu inabadili channel yenyewe bila kuguswa bila remote nimejaribu kutoa betri kwenye remote lakini tatizo liko vilevile nimejaribu factory reset nimeweka software mpya bado bilabila...
Hello. Natumia mtandao wa Vodacom, nataka kutumia hii service ya Barring all Incoming calls, sasa nimejaribu manually inakataa as siijui Barring password, also nimewapigia customer care, kaishia...
Wadau Habari Zenu
Mimi Ni Mteja Sana Wa Hizi Kampuni Mbili Za Simu, Tigo Na Vodacom. Mara Nyingi Huwa Nabadilisha SIM card kwa simu yangu yenye uwezo wa kukaa line moja. Sasa Kinachofanya...
Habari wadau, nina samsung mini laptop inatumia OS ya android (chromeOS) nataka kuibadili iwe inatumia windows je inawezekanaje maana nimejaribu nimeshindwa.
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka...
Wakuu heshima mbele, Jana nikiwa naangalia TV ghafla sauti ilikata ikabaki picha tu. Nikajaribu kuchomoa nyaya na kuzichomekaupya lakini tatizo likaendelea.
Nikajaribu kuazima king'amuzi kwa...
Huwa najaribu kuangalia jinsi makampuni yanavyouchimbia chini huu mkongo ukweli ni kwamba ile pipe inayochimbiwa chini huwa na vi~pipe vidogo vidogo 6 vyenye rangi tofauti,hakika huwa najiulizaga...
Wakuu nataka kununua iphone 5 ila nachanganyikiwa na specification ambazo zipo sokoni. Ukitazama website ya apple utaona wanasema RAM ya iphone 5 ni 1 GB na screen ni 4 inch. Lakini sokoni kuna...
Natanguliza shukran wakuu simu yangu nli dondoshea kwenye maji kidogo nimefanikiwa kuikausha vizuri nimeiwasha inawaka ila tatizo lipo hapa kwenye uwakaj maana inaishia kuandika vodafone na logo...
Habari zenu wanajf. Na kheri ya mwaka mpya.
Samahanini sana naomba mnisaidie ushauri. Mimi ni kijana mwenye elimu ya msingi STD7. Ninazo fun mbalimbali, But ktk maisha yangu napenda sana kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.