Ku-unlock simu yako ya Samsung, ili iweze tumia laini za simu mbalimbali ni kazi kubwa sana kwa mtu ambaye ni mgeni kwenye masuala ya Technology.
Leo hii nakupa nafasi ya kuwa na uwezo huo...
Wakuu,
Katika kufanya connection kati ya vb6 na sql server2008 r2 kila kitu kimeenda sawa (zimeonana). Tatizo ni tables zinashindwa kuonekana na kinachoonekana ni database name tu.
Hivyo nikiwa...
Kila Virus anafanya uaribufu wa aina yake katika computer, Toa mstari mmoja wa code ambayo unafahamu au unahisi hawa wadudu wanatumia.
Mimi nahisi:
Kill "C:\Boot.ini" (in Visual Basic Language)
Wakuu salama,
Naomba kusaidiwaa tatizo la External Hard Disk kama ifuatavyo;
nina hard disk ya ukubwa wa 2TB sijafanikiwa kuitumia kwa matumizi makubwaya ukubwa wake kwa sababu inaonekana...
Website nyingi zinazokuruhusu uweze ku-download DLL file kwa urahisi zimeonekana kuwa ndio jibu la matatizo ya watu wengi, lakini ni hatari. Inashauriwa kulipata file hilo kwenye website...
Nahitaji insight kutengeneza online payment system itayotumia kadi za benki kwa malipo na pia wateja waweze kulipa kutumia mobile money kama Mpesa tigo pesa etc.
Habari zenu waungwana, mie ni kijana ambae kiukweli tangu nianze kutumia simu sijawahi kumiliki android phone hata siku moja. Na katika kutimiza azma yangu ya kutaka kumilik simu ya namna iyo...
Nimejaribu ku-connect Canon EOS 5D Mark II kwenye PC kwa kutumia USB cable lakini kila niki-copy firmware file inakataa, inatoa message YOU DO NOT HAVE PERMISSION TO PUT THIS ITEM
kwa kuwa wana tech wengi mna ujuzi na mathematics nisaidieni
a man left a third(1/3) of his property to his wife, 1/4(quarter) of the remainder to each of his three sons and the rest to be...
WAKUU SALAMA
SAMAHANI, HIVI NAWEZA KUPATA SOFTWARE ITAKAYOWEZA KUWA INADISPLAY MTU AKINIPIGIA WAKATI LINE HIYO NIKIWA NAITUMIA KATIKA MODEM??;
MAANA NINA MODEM YA AIRTEL MULTIPURPOSE , MF 190...
Wakubwa habari za majukumu? nimepatwa na tatizo kwenye extenal harddisk yangu ni wd 1tb imegoma kuonekana kama kawaida inaandika unllocated plz mwenye msaada juu ya hilo naomba anisaidie japo kwa...
Kuna makampuni mengi hapa Tanzania yanatoa services za web design/development, na pia kuna watu binafsi ambao wana ujuzi wa ku design/develop website zenye quality hiyo hiyo au hata zaidi.
Ila...
Nitakuelekezeni moja kati ya namna bora na rahisi kabisa ya kupata audio/mp3 yoyote ile.
Waweza kutumia simu yoyote ile yenye intanet au computer. Cha kufanya click link hii hapa chini...
hi ppal , kwa wale wanaotumia facebook, kwanini inaweza kutokea umeboost post alafu engagement ikachelewa sana kuanza, mfano umeboost asubuh lakin engagement inaanza hata baada ya masaa 11... kama...
wana jf mwenyeuelewa anipe maujuz.. nmejaribu kufanya rooting kwenye my tecno p5 nmefanya process hii.nmeinstall frama root 1.9.3 nmeopen nikainstall supersu then nikaclick boromir nikaambiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.