Habari zenu wakuu!
Kwa wale wenye matatizo kwenye pump na nozel kwenye magar yao fundi anapatikana hapa tabata dampo kwa mawasiliano ya simu 0767347917 anakufuata ulipo.
Wote mnakaribishwa
Wana jf,ninataka kununua simu ambayo inasuport whatsap na instagram,sasa kuna jamaa kaniambia ninunue sim kati ya hizo mbili,je ni kweli zinasuppurt huduma hizo?
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mpango wa kutafuta kacamera kadogo lakini sijajua ni aina gani nzuri na vingine vingi vinavyohusu camera.
Ningeomba kwa wale wenye ujuzi na chombo hiki wanishauri...
Wanajamvi tv yangu ya hitach kichogo inazingua rangi mara inakuwa normal mda mwingine inajibadili kuwa ya urujuani au kwa lugha nyingine zambarau picha hazionekani vizuri. Sijui tatzo ni nini...
Msaada naomba mwenye link ya jamii forum itakayo niwezesha kuidownload aniwekee hapa kwenye thread.
Sihitaji kupitia kwenye google play store kwakuwa nimejaribu mara nyingi imeshindikana,naomba...
Kila siku inavyozidi ndio Mtandao unazidi kuwa mkubwa zaidi , ndio tovuti zinazidi kuongezeka na maudhui kwenye mtandao yanazidi kuongezeka na programu za kuendesha maudhui na masuala mengine...
NASA/JPL-Caltech/MSSS
Scientist Sees Possible Signs Of Ancient Life On Mars In Rover Photos
Jacqueline Howard
The Huffington Post Posted: 01/08/15 08:36 AM ET Updated: 22 minutes ago
Evidence...
Each new year brings new opportunities to quit vices like smoking and binge drinking and to cut back on indulgences like excessive carb intake, online shopping sprees, and food deliveries. Begin a...
Huwa nikitaka ku.share Location iwe whatsapp, Facebook, instagram haikubali naletewa huu ujumbe
"Maps are not supported for this app at the moment. Keep an eye out for updates"
Natumie Nokia XL
Ninatumia simu ya LG lakini kila nikitaka kuingiza menu mfano ya airtel money inaload kisha inasema MMIE CODE CANCELLED nikitaka kuweka vocha ni mpka nitoe line niweke ktk simu nyingine..MSAADA...
Kwenye simu twaweza kutengeneza wifi hotspot ili kutumia internet kwenye computer kwa kutumia wireless hotspots
Pia twaweza kutumia modem zetu kama wifi hotspot ili tuweze kutumia internet kwenye...
Niliflash simu yangu ya Vodafone vf865 ili niwe natumia laini zote,nilifanikiwa lakini internet haifanyi kazi nikiweka laini ya tigo au Airtel ila nikiweka voda speed haipimiki tatizo ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.