If you are in Arusha, tomorrow evening from 6pm we will be having our second Arusha Coders meetup at Farm Radio's Innovation space.
Main topic of discussion will be Mobile Payments.
Our...
Ukiwa kama mfanya biashara mwenye kampuni yenye standard ambayo inahusika na logistics unaetaka kujitangaza, kuwafikia wateja wako na kuwa more professional. Unaweza kutoa tender ya kutengeneza...
Hon. January Makamba, Deputy Minister of Communication, Science and Technology
Like many other countries in the world, Tanzania incorporated Information Technology (IT) as a key sector in...
A day does not pass without hearing someone mentioning about Facebook, Twitter or Instagram, whether it is on the news or from a friend or colleague. In a six years period Facebook has gained...
Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari...
Heri ya mwaka mpya 2015 wana jf.
naomba kwa yoyote mwenye kujua jinsi ya ku-upload research au publication niliyoifanya online ili kila mtu aliyeko sehemu yoyote ataweza kuisoma na kuidownload ...
Habari wakuu, Nataka kusomea any object oriented language kwa ajili ya web development na pia online marketing.
Nimefanya utafiti nikakuta kuwa naweza kuifanya kwa darasani kama diploma au naweza...
Watu wengi wamekuwa wakiomba kujifunza namna ya ku-design electronics devices.
Tatizo ni kwamba wengi wamekuwa wakihitaji kujua kila kitu ndani ya muda mfupi.
Elimu ya muda mfupi naitoa kwa watu...
Habari za majukumu wana JF,Nina tatizo la computer yangu Imac 27" ghafla wakati naiwasha ikashindwa kuwaka ikabaki na white screen na logo ya Apple, nikaizima na kudisconect kill Kitu Kisha...
I have iphone 5, inakula charge ndani ya muda mfupi sana inakuwa imeisha.
Kwa wale wenye iphone, mnatumia njia gani kuweka simu yako ikae na charge muda mrefu?
Pia, hapa Tanzania kuna genius bar...
Jamani wanajf naamini kuwa humu ndani kuna wataalam. Naomba mnisaidie hili..jinsi ya kutengeneza Animation kwa kutumia Adobe Photoshop cs6. Plz nisaidien wakuu.
Nahitaji msaada nilinunua mzigo ebay kwa njia ya paypal sasa hawakuutuma wakarefund pesa. Nikiindia paypal ziko completed refunded but kwenye master card crdb yangu hakuna. Nifanyeje?
Jamani laptop yangu aina ya ASUS inasumbua saana kuwaka na ikikubali kuwaka inaweza freeze nisiweze fanya lolote nimejaribu kupiga windows chini na ku-install upya lakin bado tatizo lipo palepale...
Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.