wakuu wote kwa wale wanaojua wepsite yeyote ambazo unaweza ku download program free hususan kwa ajili ya computer tupieni hapa ili iwe msaada kwa wanajamii wote mimi naanza kwa kuweka hizi...
Habar zenu wakuu, nina samsung galaxy s5 demo unity, huwez kupiga cm wala kutuma sms, kama unamtaalam wa kuzifanya zipige cm naomba nisaidieni.
Natanguliza shukran
Wakuu hili tatizo limenisumbua sana.
majina yanayoonekana ni line 1 tu lakini line 2 inasoma namba bila majina.
kuna wakati napokea simu ya bosi bila kujua kwa kuwa jina halionekani...
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
jamani kuweni makini sana na hawa watu. yani mtu mimi na rafki yangu tulichanga hela tununue ps4 ebay tukalipa hela yetu tukiwa tunausbir mzigo kwa hamu .cha ajabu hadi leo tokea november hamna...
Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error...
Dah yan hawa jamaa wamenimaliza nguvu kabsaaaa,,google adsense wamenifungua juzi akaunti yangu et kisa invalid clicks,,na wakaniambia ni appeal nikafanya hvyo na wakaja nijbu ombi langu...
Kwanza heri ya mwaka mpya. hebu nisaidieni hili swali. Mouse ina wire ngap ndan ya connector yake na kila wire inafanya kaz gani ? Namaanisha ile wire unaokwenda kwenye PC
Habari wakuu.! Nimeludi kwenu tena naitaji kujua VPN gan nzuri ili niweze kutumia net Bure.. Nine root simu yangu galaxy s3mini nipo natumia vr.4.4.2 cm.. Msaada wakuu
Shikamooni wanajamii! Leo fundi kaniabia lnb yangu ya zuku imeungua. Ilipoteza network wakati wa mvua. Naomba aliye na ujuzi huu anieleweshe kama ni kweli mvua inaleta hili tatizo? Dish lenyewe...
Wakuu mwenye kufahamu kuhusu hii power bank anijuze vizuri kabla sijainunua. Nakaribisha pia wenye kujua kuhusu power banks aina tofauti tufahamishane.
Ahsante !!!!!
habari zenu wakuu,nina laptop yangu ya dell core i3
,lakini wi-fi siioni kwenye device manager wala icon yake haimo ila kwenye specification ipo.natumia windows 8.1pro.je tatizo ni nini?
Habari za jioni wana jamvi, Nimenunua min laptop ya Acer-aspire one,nataka kutumia web cam yake kuwasiliana on line, Tatizo nashindwa kuiwasha web cam, Na je nitafanyaje niweze kuwasiliana na mtu...
Habari wakuu, Ningependa kufahamu kwa wenye experience na hii kitu sio tu kuisoma bali kufanyia kazi. Ni kiasi gani(range) ya pesa au malipo unaweza ukapata kupitia Google adsense, na malipo yake...
Habari,samahani nina tatizo simu yangu aina ya Tecno m-3 imejiloki baada ya kuingiza namba yasiri isiyo sahihi nimejaribu kuizima na kuiwasha nikiwa nimebonyeza volume+ na power inaleta maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.