Wakuu nina simu yangu aina ya Lg LU6200 version ya Korea tatizo lake ni kuwa ukitumiwa sms na number ambayo umeisave, sms hiyo haionyeshi jina ingawa contact imekuwa saved aidha kwenye simu au...
Kwema waungwana?
Kama kichwa cha habari kinavyonyesha,simu yangu nikishaweka betri baada ya kuitumia mfululizo bila kuipumzisha inapata sana moto,kiasi cha kwamba hata betri inawahi sana kuisha...
Hivi hizi alerts zinazokuja kwenye android phones unaposurf internet zina ukweli wowote au ni trick ya kuuza app zao? Mara nyingi naletewa alert eti simu yangu iko slow na ina virus wengi na...
Habari niajee wadau wa jamvi.
Nimejaribu kubadili picha ya profile yangu kupitia jf app
Inashindikana.
Naombeni msaada kutatua tatizo hili..
Natanguliza shukrani..
Kwa mujibu wa Google trends, mwaka 2014 watanzania wame google maneno yafuatayo kwa wingi.
haya ndio maneno 10 yaliytafutwa kwa sana...
Pia kuna list ya maneno ambayo yametafutwa kwa kasi...
Habari wakuu,
Nilinunua king'amuzi cha Azam wiki iliyopita,TV yangu haina option ya audio out,sasa nikaunganisha waya wa audio kutoka kwenye king'amuzi kwenda kwenye subwoofer,cha kushangaza...
Nimekuwa sielewi mwenendo wa data usage za hivi vifurushi vya OMG kutoka Airtel takriban wiki sasa.
Mara utumiwe sms ya umetumia 90% ya kulifurushi chakk ilhali unakuta hata nusu hujatumia ( hii...
wadau mimi ni blogger na nna adsense but nasikitika adsense hazionekani kwenye opera mini na ukicheki viewers wengi wanatumia opera so nimeambiwa mobstack wanauwezo wa kudisplay ads kwenye blog so...
Habari wataalam,
Nimekuwa na suzuki swift kwa karibu miaka miwili sasa, lakini siku za hivi karibuni imeanza kunifanyia mchezo ambao hata mafundi wanashindwa kuuelewa. Tatizo ni kuzimikazimika...
wajameni. Jana niliona mtu ameshika smartphone kwa jins alivoanza kuifungua mafaili nkadhani ni i phone, kumbe ni tecno h6. Ilikuwa usiku nkashindwa kusoma brand name pale kwenye screen. Pia kuna...
poleni na kazi! ninataka kununua simu aina ya moto G2 lakini sijapata sehemu wanapoiuza simu hii hapa mwanza .Kwa yeyote anayefahamu namna gani naweza kuipata simu hii naomba anifahamishe.
"I fear the day that technology will surpass our human interaction. The world will have a generation of ------."
Source: I Fear the Day That Technology Will Surpass Our Human Interaction | Quote...
Habari zenu wakuu. Jana usiku nilimuachia mtoto simu baada ya kurudi nikakuta simu imejilock na inaandika PLEASE ENTER THE PRIVACY PROTECTION PASSWORD/PIN.
Nimejaribu kuweka PIN ninayotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.