WhatsApp kwa sasa inajipanga kuja na huduma ya kupiga na kupokea simu kupitia application yao. Wanaotumia whatsapp wataweza kupiga simu kupitia kwa walio kwenye contact list zao kama ilivyo sasa...
Hi wana JF.
Ninapata tabu, kubadiliaha break disc kwani qauza maduka ya spare hawajui ni ipi, hivyo anaejua wepesi wa kumsaidia muuza duka kunipatia, aniaaidie. Japan version
Wakuu me bado mshamba kdg kuhusu hz rangi nyeupe na nyekundu kwenye minara ya simu nk,hv huwa zinamaanisha nini wandugu,mbona cjawah ona rangi nyeusi,blue,kijani na nk?
Kama kuna mtu anatumia TING HD anijuze kama option ya kurekodi katika flash inafanya kazi.maana kingamuzi cha AZAM haifanyi kazi.ukirekodi mpaka uicheze humo humo vinginevyo hakuna.
nataka...
Nimekutana na tv ya philips14" picha ya tv hiyo hapo tatizo lake ukiwasha taa ya standbuy inawaka ikitaka ku switch tu ina zima na taa ya standbuy ina waka na kuzima na speker utasikia inafanya pu...
Wadau et bei sahihi ya simu tajwa hapo juu kwa anayejua, ubora na weakness zake maana kuna mtu anaitakia 180 hapa na mi sina uzoefu nazo, aniarifu nisijekurupuka
habari ndugu wana jf simu yangu imeanza kusumbua kwenye kamera niki select sehemu ya camera simu inaleta giza kwenye screen halafu inastuck mwanzo ilikua poa kabisa
Naomba msaada na Asanteni
Leo asubuhi nimeapply ads toka google na wamenijibu hvyo sasa naombeeni mnisaidie kusolve hayo matatzo waloniambia siunajua ni vzur kushrikiana na watu ili mambo yaende vzur
Nipo unaandika report yangu hapa . lakini kuna kitu kimenishinda, nataka niwe na numbering tofauti. Yaani page za dedication, contents, acknowledgement , certification ziwe na roman type...
Natumia mini pad p9 inaonesha ina 12gb jumla na zimetumika kama 700 mb ambazo nimeweka baadhi ya apps lakini nikitaka kudownload apps nyingine zinakaaa kuingia simu inaandika insufficient space...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.