Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Database ya kutunza rekodi za hundi( cheque/ check). Inakuwesha kutunza na kutafuta(search) rekodi ya check kwa haraka zaidi. Tunza mpaka rekodi billion 1 za cheque. Achana na kutumia microsoft...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Habar za kaz wana JF Ni wiki ya pili sasa desktop yangu haitoi sauti nifanyeje..? tafadhal naomben msaada wenu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wa masaa nitakayo tumia ili kuendana na masasa ya hapa tz, maana ninayotumia kwa sasa inachegana na mda, eti nikupost kitu kwa mfano sasa hivi inaonyesha sasa tatu asubuhi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar wana jf mm ninatumia simu ninaomba mmisaidie ni Application gani ni nzur kwa ajili ya kudownload muvi for free plz naombeni mnisaidi wana jf
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Database ya kutunza rekodi za hundi( cheque/ check). Inakuwesha kutunza na kutafuta(search) rekodi ya check kwa haraka zaidi. Tunza mpaka rekodi billion 1 za cheque. Achana na kutumia microsoft...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina tab tajwa hapo juu, kwa bahati mbaya imedondoka na kioo cha juu kimepasuka(Touch bado inafanya kazi maaana ndo naitumia hata kupost huu uzi) Kwa mtu anayefaham naomba anielekeze wapi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wa jf wapi nitapata display ya sony xperia z kwa bei nzuri au fundi wa kunifungia. nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Habari zenu wakuu,naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa..nina huawei p6 yenye Android version 4.2.2 then nkafanya local updates kwa kudownload firmware inayoishia na B125, B132 na mwisho kabsa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau nauliza hivi nikiunga internet ya voda ya 1000 kwa siku ikifikia mb1024 speed inashuka je nikijiunga kifurush cha 20000 cha mwezi ni vile vile kuna limit au ndo ni magumash tu ili...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Nina tab tajwa hapo juu, kwa bahati mbaya imedondoka na kioo cha juu kimepasuka(Touch bado inafanya kazi maaana ndo naitumia hata kupost huu uzi) Kwa mtu anayefaham naomba anielekeze wapi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani
1 Reactions
61 Replies
15K Views
Wataalam, naomba msaada wa namna ya kucopy certain sections kutoka Google Books. Kuna materials nahitaji kucopy/kuprint, na hii kitu nimeiona Google Books tu.
0 Reactions
2 Replies
956 Views
taweza vip kutengeneza ANDROID APP yangu na kuiweka kwenye play store? na nitaweza vipi kuiupdate ? naomba mnielimishe juu ya hili
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Wakuu sina shaka mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu. Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji haraka sana program ya SPSS version 17. Computa yangu ni window 7, nipo Korogwe kwa...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Salaam ndugu zangu wanajamvi,nimemenunua ki-simu kidogo tu kizuuri cha Nokia X2 na kuanza kuenjoy huduma za mtandao, ktk kuperuzi na kujifunza mambo ya mtandao nilianza kuunganisha mtandao kwa...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Sina kumbukumbu yoyote ya PUK, jana nimetoroka kazini nikaenda mlimani city nikakuta bonge la nyomi, nikipiga customer care haipatikani! Kuna jamaa yangu kaniambia ipo jinsi ya kupata PUK bila...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wakuu natak kuquery data from database, ila nataka kuzigroup kwa miezi, Yaani mfano nina attendance ya kuanzia mwezi wa kwanza ila nataka nivute data zote zinipe link ya miezi kimfano ni kiclick...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu natafta fundi wa kunifungia dishi langu la AZAM,niko Moshi-Soweto mwisho wa Hiace...naomba km ni fundi NI PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamiiforum mwenye activator ya 8.1 window anisaidie niweze kuactivate maaana kukununua shughuli pevuu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wapendwa....... Nina simu aina ya Nokia C3 00.. Hii naipenda sababu inakaa na charge tofauti na smartphone nyingine nilonayo sasa hii NOKIA C3 00 tangu jana siielewi yaani nikienda...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom