Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ninasumsung s3 mini ambayo nimeweka custom Rom CM11 so ina run android 4.4.4. Nime activet encrypt now i want to dencrypt (deactivate it) nashindwa so plz help guyz.
0 Reactions
0 Replies
536 Views
wakuu naomba kujua jins ya kuufanya wimbo kuwa na picha ninayoitaka mimi. asanteni
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau msaada please kwa wenye ujuzi, nataka kubadilisha ESN ya modem yangu (CDMA) ila sina software, naombeni msaada please, nimejaribu ku google ila mpaka sasa sijafanikiwa kupata jibu sahihi.
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Habar zenu wadau naomba kufahamu namna ya kutambua laptop yenye ubora kwa matumizi ya chuoni.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Natafuta charger (power supply) ya Acer Iconia Tab. Kichwa chake ni pini sio kama micro USB za kuchajia hizi normal smartphones. Ina output ya 12V ===== 1.5A Iliokuja na Tab imeungua naona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jamiiforums naomba msaada namna ya kupata PUK za Tigo kama laini imekua blocked
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wanajamii naomba msaada wa kupata drivers za webcam za toshiba sattellite C660. Thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naomba munisaidie njia za kuongeza fb page likes bcz naona watu watu hawaongezeki kabsa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba mnijuze kama hiki kitu kinawezekana, gharama za dstv zimeshinda!! Kama inawezekana, naweza pata dekoda ya azam kwa bei gani?
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Inawezekana kubadili I'd jf? kama inawezekana ebu nipeni maujanja.
0 Reactions
15 Replies
37K Views
Habari wakuu, Naomba ufafanuzi kidogo juu ya powerbanks mbalimbali za kichina zinauzwa mitaani. Kwasababu nyingi zianonekana zimeandikwa zina uwezo mkubwa, namaanisha uwezo wa kutunza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watch over 30 free channels via startimes...! follow link:deleted by c6
0 Reactions
83 Replies
23K Views
Hellow JF members. Today I am going to show you how to hack facebook account. I have decided to do this due to many request i got from JF members who wanted to learn how to hack facebook account...
2 Reactions
8 Replies
14K Views
Wapenzi wa technology, kila mwaka things get better kuliko mwaka uliopita, tupia tech gani unayoisubiri sana kwa hamu mwakani.. Mimi list yangu 1. Oculus Rift CV1.. Hii iko namba moja maksudi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
wandugu najua mpo bize na bunge move.... naomba tuje na huku.... kuna app 1 nimeiona ya boost speed ya net....kwenye 2g...3g...na 4g.... lkn nimeweka mambo ni yale yale.... naimba ufafanuzi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kuna vitabu kadhaa jana nimekesha nikidownload vikakubali na nikavitazama na kuvisave. Baaa ya hapo kila ninachofungua inasema : Adobe reader could not open 'text.txt'...
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Salamu wakubwa. kuna mtu amenipigia simu masaa kadhaa yaliyopita (jana jioni), napenda kufahamu sehemu aliyokuwa wakati anapiga hiyo simu, kuna mtu yeyote kati yetu anayeweza kunisaidia katika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung galaxy original na feki , hiyo picha hapo juu ni picha ya...
0 Reactions
38 Replies
15K Views
Msaada jamani nataka Ku update kutoka window 8.0 kwenda window 8.1 .naomba msaada ili niweze Ku update my PC nimejaribu kuingia kwnye store inaniambia this iz not avalaible on your PC...lakin...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Back
Top Bottom