Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kampuni ya microsoft inaachilia operating system mpya ya window 10 ifikapo tarehe 21/01 2015 na kikubwa ambacho watumiaji wengi wa window watafurahia nacho ni ujio wa classic start button ambayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina kiasi cha 300k natafuta smartphone ya window kama lumia HTC au android iwe ya Samsung, Sony, au HTC ni aina gani zitanfaa msaada tafadhal
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani vipi kuhusu hizi decoder za qsat mbona zinazingua.....especially yangu yan muda wote inasema "SCRAMBLED CHANNEL" Wadau wa QSAT tatizo ni nini?
0 Reactions
48 Replies
13K Views
1. WhatsApp Messenger Ni Application inayotumiwa zaidi kwa sasa na watu kutumiana meseji, picha na video. 2. Shazam Encore Ni Application inayoweza kutambua wimbo usioufahamu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
I have galaxy note3. Its locked to one of our local SIM. I need help to unlock it. Coz i knw there are codes out there and this is a benefit of being a member of JF. Thank u.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nauza betri la nje la hp note book. unaweza kutumia kwa hp note book series zote. bei maelewano
0 Reactions
0 Replies
665 Views
SAMSUNG NOTE BOOK INAUZWA KWA BEI NAFUU. HARD DISK: 280GB. R.A.M: 1GB. PROCESSOR: 1.60ghz PRICE TAG: 400,000/= Tsh PLAYSTATION 2 + Game CDs + GAMEPAD PRICE TAG: 200,000/= Tsh CONTACTS...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
..............................................................
9 Reactions
129 Replies
38K Views
Habari zenu wakuu. Kwa kipindi kirefu nmekua nikicikia kuna jinsi ya kufanya ili nitumie bandle ya kawaida instead ile ya BB. Msaada wenu wakuu katika hli,ukizingatia mm ni mmoja wa no 1...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekinunua mwaka 2013 nikiwa mwanza nikahamia kahama kikawa hakitumiki nikawauliza star time wakaniambia eti ni kwa sababu kahama bado haijaunganiswa kidigitali, sasa star time wanaving'amuzi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu..naombeni msaada wa jinsi gani nifanye ili ni-unlock simu yangu huawei ascend Y530, maana haiwaki zaidi ya kuleta ujumbe wa neno PHONE LOCKED. Asanteni na nawatakia sikukuu njema.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhari wadau,mwenyeuelewa juu ya ubora na udhaifu wa Tecno A+phantom anijuze ikiwa ni pamoj na bei yake.X-mass njema
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Habari wa tech Nina simu yangu ya kichina ambayo processor yake ni Mediatek mt6582 na inatatizo la imei. Nimejaribu kurepair hiyo imei kwa volcano box ila nimeshindwa kabla ya kuanza sababu simu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi natumia Huawei Y-300, Naomba mwenye kujua namna ya kubadilisha software anisaidie kwani simu imekuwa nzito nataka kubadili 3g niwe 4g.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jana nilijaribu kukuza display katika computer lakini baadae ikakata mawasiliano ikaniandikia out of range ..kwa mwenye utaalamu anisaidie tafadhali
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Kumekuwa na simu nyingi za Android ambazo zimekuwa zikiingia sokoni kila kukicha, Lakini wateja wengi wametokea kununua simu na kutoridhishwa na stock ROM inayokuwepo kwenye simu. Simu nyingi...
6 Reactions
26 Replies
9K Views
Habari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye iPod ya apple
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Guyz plz help me I gat zte v6700 ambayo inatumia line moja tuu ya TTCL tuu and mm nataka kuichange niweze kutumia line za mitandao mbali mbali,na kuinstall custom ROM je there is any possibility...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna jamaa yangu nimempa laptop yng anifanyie partion ya local disc(hakutumia software) nilipo iwasha laptop imeniandikia BOOTMGR IS MISSING PRESS CTRL+ALT+DEL Nina press inaleta -internal HDD...
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Back
Top Bottom