Is Microsoft about to kill off Internet Explorer? Windows 10 set to come with new 'Spartan' web browser
Microsoft will show off software for first time on January 21st in Seattle
Single app...
Habari zenu wakuu nina galaxy s3 original shida ni kwamba imeanza tabia ya ku-stac mpaka nitoe battery niweke upya ndipo inakaa sawa. Kinacho nikera zaidi ni kwamba wakati imestac ukinipigia...
Salaam wakuuu...
Ninatumia simu aina ya BlackBerry 9800....kuna dogo nilimpa anishikie mara moja...huku JF application ikiwa hewani..lakini cha ajabu aliponikabidhi simu yangu....kila nikifungua...
Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened...
Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened...
Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari...
Ni miezi sasa inapita naitafuta playstore bila mafanikio.Ni app ambayo picha zake common saana insta yaan inazifanya picha ziwe na mwonekano ka zimechorwa hv. bt kwa rang nzuuri.
Njeribu ma app...
pc aina ya dell inachagua flash ni flash yangu tu 2gb inayosoma nyingine hazikubali...nmeshauriwa nibadilishe window maana kuna key zimemisi..msaada kabla ya kubadilisha window naweza nkafanya nini?
habar wakuu...nnatambua wazi kabisa u
wezo mkubwa uliomo ndan ya jukwaa hili , nnaombi. moja kwa yeyote mwenye uzoefu na jinsi ambavyo unaweza kufanya namba flan pekee isikupate hewani hata...
Dah! Poleni na majukumu ya Leo. jamani Mimi natumia cm aina ya Itel, it 1351.ila inazingua sana upande wa whatsapp kilanikijaribu kufungua whatsapp inanijibu ("Your phone date is inaccurate...
Habari zenu wakuu aisee mie nimepata tatizo dogo kwenye simu yangu ya huawei ascend y300
ni kwamba simu inaonesha kuwa ina charge hata nikiitoa kwenye charge simu inaonyesha kuwa bado iko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.