Natafuta IT Professional(2) wenye level yoyote ile ili ku partner na kuanzisha IT Firm ambayo itakuwa Serious. Tutaunganishwa na Sera na miongozo ya Kampuni wala siyo ushikaji wala kujuana. Kama...
Nina samsung Notebook, haikamati internet ninapotaka kufungua browser. Lakini msg za Whatsapp zinaingia kama kawaida na nikituma pia zinaenda. Ila nikitumiwa clip kwenye whatsapp siwezi kuifungua...
Wadau nina samsung halaxy trend lite mpya nashindwa kudownload apps play store sababu imegoma ku-sign google...kila nikijaribu sign in inaleta ujumbe "error occuered in gòogle sever".....je,ni...
Nahitaji kurecovery data zangu kutoka kwenye sd card, nimejaribu kudownload data recovery software kama mbili tofauti zote zinafanya kazi vizuri na kuleta file zote ila ninapotaka kurecovery data...
Wadau nini samsung halaxu trend mpya shida nashindwa kudownload apps play store sababu imegoma kujisajili...kila nikijaribu sign in inaleta ujumbe "error occuered in gòogle sever".....je,ni mbinu...
Nina iphone 4s nilikuwa nime-jailbreack wakati ikiwa ios 8.0 na ilikuwa cydia ilikuwa haijakaa sawa ilikuwa ina sumbua na ikaamua ku-unjailbreack sasa iphone yangu iko ios 8.1.2,napenda kuuliza...
5 Aluminum Foil Uses You Never Thought Of
Cooks know the value of aluminum foil, particularly around the holidays, when it plays a role in everything from roasting vegetables to storing...
Password is must important for every Whatsapp user and now you can use password for your whatsapp and with this you can remain secure and safe and prevent from unauthorized access.
Lock Whatsapp...
Well its very tricky and i think very essential for peoples like us,who are keep online 24×7 on Whatsapp.So in this situation its important that you must disable the last seen option for many...
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote, Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado...
Guys nahtaji ku update simu yangu aina ya tecno phantom z lakini nashindwa yani nataka kutoka kwenye android version 4.4 kitkat to android version 5lolpop je nifanyaje.naombeni msaada nimefanya...
Habri wanatech.
Naomba msaada kwa mtu ambaye anadeal sana na cisco devices in real life siyo kwenye simulation,niko nafanya configuraion ya vpn tatizo kuna some commands zinakuwa labeled...
Je Wakati wa Ultra HD 4K TV Umefika?
Televisheni 4K Ultra HD au 4K TV, au akama Sony wanavyoziita 4K UHD TV zimekuwa madukani kwa muda wa mwaka sasa, lakini tunaweza kusema kwamba zilikuwa hazina...
Habari wana JF
Nina laptop aina ya dell sasa inadai password wakati inawaka inaleta white sreen na kuandika "This Computer System is Protected By a PasswordAuthentication System"
Msaada kwenye tuta
Habari za asubuhi wanajamvi. Katika kupita pita kwangu mtandaoni, nimekutana na hili linaloonyesha jinsi gani upinzani umejipanga vyema kiteknolojia.
Kuna application mpya ya chadema ambayo...
Wakuu naombeni msaada wenu kuhusu hiii kitu..hili tatizo lilianza baada ya mm kureset simu yangu,baada ya kudownload upya hii OG ndo majanga hayaa yakaanza,na yanatokea kila nikitaka Ku mute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.