Kwanza napenda kutoa pongezi kwa wana JF kwa kutokuwa wachoyo wa kupeana ujuzi hasa new technology.
Juzi nililazimika ku-format computer (laptop) yangu baada ya Spyware kuingia kwenye programs na...
Habari zenu wakubwa. Nina imani humu ndani kuna watu wana uzoefu na mada tajwa hapo juu. Kuna eneo nimekua nalifanyia utafiti kwa muda mrefu hapa Songea na kugundua kuwa wakazi wa hapa wamekua...
Habari wana JF??
Sie wengine magari ya manual tulijifunzia tu lakini tumekuwa tukitumia automatic kwa muda mwingi sana.
Ok, issue iko hivi...nimekuwa nikitumia gari yenye automatic...
Nimepakua keys za antivirus tatizo nikifungua hilo file linadai program ya kufungualia, maana nikitumia microsoft word inafunguka vitu vya ajabu, msaada tafadhali
Kila mwaka Google huweka hadharani orodha ya maneno yanayoongoza kutafutwa kupitia search engine yake. Kwa mwaka huu 2014 orodha ya mambo yaliyoongoza kutafutwa kupitia Google ni hii hapa...
Wadau. Naomba Mtu Yoyote Anisaidie Kunipa Code Za Visual Basic Nitakazo Zitumia Kuweka Data Kwenye Flex Grid Control Kipindi Cha Ku Run. Wana IT msada tafadhali.
Kuna antivirus na anti theft apps kibao. Je,kama smartphone yangu nimeiwekea anti theft. Simu ikaibwa au kupotea, mtumiaji mpya akai-format au akai-flash je ile anti theft itafanya kazi...
Hello
Kwa aliekuwa Certified ISSP(CISSP) Tafadhali tunaomba utueleze Challenge uliyokutana nayo coz kuna watu kibao wanatamani kuwa satified lakini kuna mambo ambayo hawayajui kama Center ya hiyo...
Habari za leo wana JF.
Naomba msaada jinsi ya ku-access free channels on DSTV (hata kama package ikiisha mda wake).
My decoder model is dsd 3u.
Thanks in advance.
Wadau wa jukwaa hili naomba msaada wenu. Kuna ndugu yangu hapa kanunua simu aina ya ZTE,sasa kashindwa kujiunga na whatsapp,kaniletea nimsaisie.
Ukiingia playstore inakuuliza kama unataka ku add...
Wadau wa jukwaa hili naomba msaada wenu. Kuna ndugu yangu hapa kanunua simu aina ya ZTE,sasa kashindwa kujiunga na whatsapp,kaniletea nimsaisie.
Ukiingia playstore inakuuliza kama unataka ku add...
Tablet kwenye ngozi yako
https://www.youtube.com/watch?v=9J7GpVQCfms#t=25
Maelezo ya kina hapa chini
http://rt.com/news/214191-cicret-bracelet-skin-tablet/
Wanajamii naomba msaada wenu. Nina Ipad, na ninatumia airtel kununua internet bundle. Lakini kila ninapotaka kununua bundle lingine ninalazimika kuchomoa kadi na kuweka kwenye simu ili nifanikishe...
Nimeibiwa galaxy note yangu muda umepita. Jitihada za kuipata zimeshindikana. Aliyeiiba alishindwa kupita kwenye security system yangu, so akaiweka on na nikaongea naye. Akanipa namba ya tigo...
App ya skype imezindua uwezo wa kutafsiri lugha. Hii inamaanisha watumiaji wanaozungumza lugha mbili tofauti wataweza kuwasiliana moja kwa moja, kila mmoja akizungumza lugha yake ya asili ambayo...
Kuna technologies za bei nafuu sana ambazo ni quite fascinating, moja wapo ni hii Google cardboard!
Google cardboard inacost about $10-$20, inatumika pamoja na simu kama Virtual reality viewer...
wakuu naombeni msaada kuhusu uc browser maana nimei donload zaidi ya mara tatu ila inagoma tu tatizo kila napoingia inaniandikia neno hili#ooops link appears expired sasa sijui tatizo ni nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.