Habari wanaJamii. Naomba ushauri kwa wale wazoefu wa magari. Ni hivi, Je ni Engine gani ambazo zipo nafuu kidogo pia zinazodumu nitazoweza kufunga kwenye Hiace?
Jamani habari...naomba nipewe elimu kuhusu king'amuzi hiki..nimeona tangazo lao la promotion.nikashawishika kununua naomba kujuzwa na wataalam wa mambo je nikizuri sana au huduma na chaneli zake...
Magari kumi ya bei ghali hapa duniani, mwaka 2014
01. Lamborghini Veneno Roadster - $4.5 million
02. Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport Vitesse - $2.5 million
03. Koenigsegg Agera S - $1.5...
SCREEN YANGU YA COMPUTER NILIIGONGA BAHATI MBAYA KWENYE MLANGO WA GALI. INATOA KAMA WINO KWA NDANI.KAMA IONEKANAVYO KWENYE PICHA HAPO.
JE KUA UWEZEKANO WA KUPATA SCREEN MPYA AU KUTENGENEZA?NA...
Hello forum members.
After making recordings on my str 4922 onto a flshdisk, i cannot play them on my computer using vlc. However when I record using my Eurobox 9700 Gold+, they play just fine...
Habar wana jamvi,ninasimu ya huawei y300 ambayo ni liletoleo la kwanza kabisa! Sasa inaonekana ni kwa ajili ya tigo tu! Kwn nkiweka mtandao mwingne inanidai keys! Kama kuna m2 mwenye hzo key au...
Mwanza kuna uhaba mkubwa wa cd za playstation 3. na kudowngrade ps3 sio ngumu ila ni risky sana... nilikuwa naomba contact ya mtu yeyote anayeweza kudowngrade ps3 (MWANZA) na kumlipa.. ila...
Mwenye kuzielewa vizuri hizi simu aina M-Horse zikoje katika ubora wake kwa ujumla kimatumizi ..na ni tatizo gani kubwa labda liko na hizi simu ambalo kama mtumiaji unahitaji kuwa makini...
Simu za kisasa zinakuja na functionality nyingi kiasi cha kwamba kuna baadhi ya vitu vitatoweka kabisa huko tuendapo. Kwa mfano
Redio, Tochi, Calculator, Kamera, cd player, marafiki wa ukweli...
kwa wale wenzangu wanao tumia qsat23 vipi zipo hewani kwa sasa? mwenzenu channel zote za d*tv hazionekani natumia account ya Tv1,mambo yaliharibika tangia siku jamaa walipo update na kuongeza ITV...
Heshima iwe kwenu wana wa jf wenzangu naombeni msaada mwenye wimbo huu anisaidie siujui jina lake ila kwenye wimbo huo kuna maneno yanayoimbwa wanasema supu umetia nazi supu haitiwi nazi kiungo...
Kuna mtu yeyote mwenye ujuzi na hii mobile App ya inauzwa.com ya android? Ni hatua nzuri jamaa wamefanya ila app yao inansumbua kidogo kwenye techno yangu nkitaka kuweka tangazo, sijajua kama ni...
Habari za saa hiz wapendwa mimi nina modem aina ya HUAWEI E303h-1 Hi-link ya Airtel Tanzania nina tumia
PC-DEll
RAM-760MB
WINDOW-XP PROFFESSIONAL
kila napoipachika kwenye pc yangu inashinwa...
Hi wana jamvi nina flash nimeinunua lakini nikitaka kuiwekea chochote inakataa inaniambia "this flash is protected"
Kama utakuwa na ujuzi juu ya hili tatizo nisaidie.
10 BEST ENGINES IN THE WORLD.
http://autos.yahoo.com/news/10-best-engines-world-211840467.html
http://autos.yahoo.com/news/10-best-engines-world-211840467.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.