Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wakuu anayeweza nipa procedure za ku unlock vodacom MODEM please tupia maujanja hapa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, nina tatizo na PDF Files! Kila ninapo-open PDF file, huwa inafunguka bila matatizo but within few seconds, adobe inashindwa ku-respond na file ku-close hapo hapo!! Nimeshajaribu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, laptop yangu inazingua balaa! In short, kama unataka kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga (beeping noice)... hapo ni lazima niitekenye sana tu ndipo itaweza kuwaka... baada ya kufanya...
0 Reactions
4 Replies
966 Views
“To raise new questions, new possibilities, to regard old problems from a new angle, requires creative imagination and marks real advance in science." ~ Albert Einstein The daughter of an...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu mwenye PC GAMES ZURI LA KIVITA ANITUMIE KWA EMAIL. Ludanhaerasto@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Heshima kwenu wakuu,ninauhitaji na game la fifa 15, pc version,nimejaribu kudownload internet lakini sijafanikiwa kuweza kulicrack,nimehangaika ila sijafanikiwa so kwa yeyote ambayo analo...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba ushauri Wa namna ya kurudishia CD (DVD) iweze kuonesha (play) video coz ni CD ya arusi na sina CD nyingine ya kumbukumbu. Asanteni kwa mawazo yenu
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Wanajamii, habari Mimi natumia Vodafone 685 nahitaji application itakayonisaidia kutunza chaji je nitumie ipi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamii forum nimsha Google na ku Google lakini sijapata direct link ya kudownload hizo setup. Pia namaanisha sihitaji zile installer zinazokuja kutoka official page ya Adobe kwani wanakupa ka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika, laptop yangu ina HDMI Port lakini nikiunganisha na receiver haioneshi kitu. je kuna software kwa ajili ya kutumia hii cable? msaada plz
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wewe mtu uliyeiba simu yangu iPhone 5, KATIKA ofisi Fulani, tafadhali irudishe pale ulipoiiba, maana hadi Leo inasomeka imefungwa, huwezi kuitumia asilani. Ina password YA simu NA Apple ID, sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima Kwenu wana JF.. Nina iPhone 4s iLa inadai iCloud Acount kuweka Apple ID pamoja na Password ila zote sizijui naomba msaada wenu kama kunauwezekano wa kuremove account ya iCloud. Niko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Toka nimenunua laptop yangu sijawahi kubadilisha kitu chochote, nilipatwa na tatizo wakati na edit video space ikawa ndogo nikafanya full format ili nianze upya. Sasa inauliza BIOS password na...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector) Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu naomba kujuzwa ni jinsi gani naweza tumia frash kwenye ps3? kwa wale wenye uwelewa juu ps3
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Habari za jioni wadau Nina simu aina ya t-mobile m.d.a window phone mpya ila tatizo ina Kijerumani ndugu zangu ajuae anisaidie kubadilisha kwenda kwenye kiingereza au anishauri nifanyeje, pia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Meneja Ubunifu wa studio za Sony, Bwana Cory Barlog amethibitisha rasmi kuwa Studio zao zipo kwenye maandalizi ya toleo jipya la game ya God of War. Bwana Cory Barlog amethibitisha taarifa hizo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Halo wanajukwaa! Kiukweli napata shida sana nikituma sms hazitoki kwa muda mwafaka..zinakuwa pending kwa zaidi ya saa au zisiende kabsa..network ipo vzr na si leo tu ni tatzo la muda.natumia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna rafiki kaniomba niwaombe msaada wanajamvi wezangu yeye anatumia simu aina ya techno anasema watu wanaompigia wanamwambia simu yake ipo busy kwa maana simu yake ipo bize mda wote je tatizo ni...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Simu imezima chaji na sasa haiwaki tena cjui tatizo ni nini jamani...ni simu ya lg
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom