Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu simu yangu inatatizo la ku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali.Tafadhari mwenye suluhisho naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Habari zenu wakuu, hivi kukaa karibu na minara hii inayojengwa humu mitaani kuna madhara yoyote? na je kama kuna madhara kwanini wanajenga karibu sana na makazi ya watu?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimeona kuna watu wengi wanajadili sana kwenye comment za thread mbalimbali kuwa kutumia WIFI ROUTER inasaidia kupunguza gharama za bundle. 1.naomba kufahamu juu ya hichi kitu . 2...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
course zenyewe ni. 1:Graphic design & web design 2 CompuTIA -A+ security + Network + kila moja uchukua muda gani kumaliza ukiwa serious nazo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninatumia NCK dongle lakini humu haimo kwa anayefahamu please IMEI 869563015749960 (HUAWEI ASCEND Y530)
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Simu yangu ina tatizo la kuhamisha unachokifanya. Kwa mfano naweza nikawa naandika "a" yenyewe ikaacha nafasi na mbaya zaidi naweza nikawa nafanya kitu fulani kama kuchat ghafla tu inarudi nyuma...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Salam. Naomba kuuliza hivi ikitokea ukafuta kwa bahati mbaya emails ulizotumiwa kwenye inbox ya yahoo, kuna njia yoyote ya kuweza ku-recover? nimedelit information zangu za muhim kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Msaada naombeni mnielekeze wap naweza pata back cover ambayo ni housing katika lumia 920. Pamoja na sensor screen ya juu kwa dar.
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Habari zenu wadau, Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazan muda mwingi nautumia mtandao hivyo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina simu angu aina ya tecno H6 tatizo kubwa ni kwamba haiwezi kutuma picha whatsap halafu nikijipiga picha nikaedit kusave inagoma inasema cant creat files sijui nifanyajee
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Makampuni mengi sana ya simu yanawekeza kwenye uchunguzi wa kutengeneza awesome feautures kwenye smartphones, kuna feauters karibuni kama simu zinazokunjika zimenifanya nikose hata la kusema, kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
habari wadau niliomba msaada hapa juuu ya kuroot simu yangu tecno P 3 wadau wengi wakaniambia naweza tumia application kama LINK2SDAPP asa nilikuwa naomba kuuliza ni hatua zp natakiwa kufuata na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada wa antvairus nzuri ya kutumia kwenye cimu yangu ni Celkon A85 Android.mwanzo nilikuwa natumia avg sasa naona ina mb nyingi mno na mimi simu yangu imebaki na mb 10 tu.msaada wakuu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Natumia simu yenye internet ya kasi ya 2g tu, nimeinstall whatsapp cha kushangaza imeshindika kumalizia procesa nzima imefika sehemu ya kuweka picha na haitoki sehemu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je! ni kweli nokia asha 200 inasupot whatsapp? Kama ni kweli naweza iwekaje? Naomba msaada wa njia rahisi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MTU aki dondosha au kuibiwa simu hiyo, ambayo ina password YA simu NA Apple ID password, je aliyekota/iba anaweza i flash NA kuweza itumia? Ufafanuzi tafadhali
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Nina iPad one yangu yenye line inatumia ios5.1.1 Nataka ku update version nyingine kuwa 6or7or8 je inawezekana???? Nitapata tabu sababu kuna apps zinagoma kuinstall
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hiki ki IPad changu kina Ios 5.1 nawezaje kuiapgrade mpaka iOS 7.1? tafadhali sana waungwana,naomba Msaada wa kufanya Hilo atua kwa atua
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Application tajwa hapo juu inatumika katika kuflash ku-unlock simu kama vile blackberry,iphone pamoja na zile za android,ningependa kupata msaada juu ya link ya kuipata program husika, kui install...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom