Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wale ambao wapo nje unaweza now kusikiliza redio za ndani (Tanzania ),kwa wale wanaotumia android. Nenda kwenye play store halafu search "Tanzania radio " download hiyo app.utakuwa umemaliza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jaman wana jf naomba misaidie jinc ya kuinstall skype kwenye nokia x2 01?
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Wakuu nimekwama na nipo kariakoo hapa natafuta Firewire card ambayo ni PCI Expres msaada tafadhali mwongozo ntaipata wapi
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Simplicity and design at the heart of Nokia's first brand-licensed product Espoo, Finland - Nokia today announced the N1, the first Nokia-branded AndroidTM tablet. The N1 offers the innovative...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijulishe ni maduka gani na wapi naweza pata simu tajwa hapo juu, naomba msaada wenu wakuu, asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wana JF mwenye os ya android au mwenye idea wapi pa kudownload anitumie maana nina Galax tab yangu imecorrupt OS so haitaki kuboot
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii habari za jioni.Nina simu aina Alcatel one touch 918 inakubali internet Airtel peke yake,kila nikijaribu airtel haikubali.Naomba mwenye kujua kama configuration ya Vodacom anielekeze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Need help to unlock Huawei ascend y300 !
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani. Hii simu imekwama sreen. Nifanyeje iamke? Msaada wakuu.
0 Reactions
1 Replies
666 Views
As there's a growing demand for energy saving technology in industrial lighting, Yaham Lighting upgraded its linear LED high bay light to be more intelligent, energy saving, and convenient with...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Habari za jioni wanajamvi, Awali ya yote niwashukuru wale wote walionipa maelekezo namna ya kupata files hizo kulingana na post yangu ya wiki iliyopita. Ukweli nikwamba mpaka sasa nimechemka,kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ! Naomba msaada wa jinsi gani naweza kupangilia kitabu ili kiwe tayari kwa ku-print? nataka kiwe kwenye size ya A5. Nimeshakiandika katika microsoft word sasa kukipanga kwa pages nifanyeje...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hellow guys, poleni na majukumu....tatizo langu huwa nikiingia internet nikitaka kufungua website yoyote hata ya Google.com huwa inaishia njiani na kuandika ujumbe "this connection is untrusted"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau salaam! NATAKA FUNGUO ZOTE: Mimi nataka nipate website, nitamtafuta mtaalam wa website anitengezee na kunifanyia masuala yote ya domain registration na hosting! Sasa nikitaka kuwa mmiliki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Tafadhari naomben ushauri ninunue simu gani kati ya LG G2 na NOKIA LUMIA 830.. nimepta Mlimani city nimekuta bie ya LG G2 ni 645000 na ya LUMIA 830 ni 665000...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, Nina Tv yangu Samsung LCD flat 32inc, ina sehem ya USB lkn kwenye program zake ukiweka flash disk inasoma audio tu hakuna option ya kuona video. Nifanye nini kuweza kuona na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada kwa yeyote anaefahamu hii makitu wakuu please !
0 Reactions
6 Replies
2K Views
11 - MAY My dear friends, After a long span of time, I have come up with something new for you and hope that you will enjoy it. Today I will show you people the trick which will increase the speed...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom