Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombeni msaada niliingiza p/word co zaid ya mara 4 nikiwa kwny wikend ikalock,, Zilikuwa ni patterns kwny smartphone plz help
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba anayeweza kunisaidia namna ya kufanya ili hii simu Htc Desire VC iweze kupokea internet configurations
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimekuwa na tatizo la pc yangu kujizima na kujiwasha ghafla baada ya blue screen. Pia wakati mwingine inapojiwasha baadhi ya program imayoa erro sms program stopping mpaka ni irestart...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, ninashida ya key za software ya SPSS ya statistics ktk research! Naombeni msaada kwa yeyote aliyenazo!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wakuu, Naomba msaada wa link au kunipa maelekezo yatakayo niwezesha kudownload drivers za cnon Ir2318 CC MziziMkavu Mwl.RCT, Mkwawa, watu8 na wengine
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Wadau JF nimegundua kwamba M-PESA ni mfumo duni sana kufanyia malipo kwa ajili ya bill mbalimbali ambao umenitia hasara na kuniharibia bajeti na ratiba mara nyingi. Awali ya yote mfumo huu uko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari! jamani naomba mnieleweshe kidogo au kwa mapana yake katika hili. Napenda kujua ni kwa namna gani Mmiliki wa facebook anavyonufaika? mfano kwa mimi mtumiaji wa kawaida mbaye huweka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nnapanga matokeo ya wanafunzi 350, nnaomba msaada wa kuseach jina kwa kuliandika sehemu nicond then lijitokeze lenyewe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NATAFUTA SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA.POPOTE NINAPOWEZA PATA TAFADHALI NIJULISHE. NATANGULIZA SHUKRANI.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ok guys nmeanzisha hizi kura tujue who iz the king
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, kuna ujanja nilikuwa natumia toka 2009 wa ku install Mac OSX kwenye laptop za kawaida kama Acer, HP, Dell na nyingine nyingi ila tatizo kubwa lilikuwa ni drivers za VGA na Wireless...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman naomba msaada kuna game moja HIV liko kama jamaa anakwenda kumkomboa binti ambaye alikuwa ametekwa kwa yoyote ambaye anarifaham jina aniambie ili niweze kudownload ..au kama kuna linguine...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Hi wana jf bila shaka mko poa Kama utakuwa na utalaamu naomba unisaidie hili swala. Nilikuwa nashusha window laptop yangu lakini kila ikifika katikati inaleta neno hili "STOP: c0000221 unknown...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada tafadhali,tablet yangu ya samsung galaxy imepata tatizo la kuonyesha battery empty na kuingia katika power saving mode ambayo inaifanya screen brighteness iwe very...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama nina Toshiba laptop 4 ram, Window 7, kwa kazi yangu natumia accounting package QUICKBOOKS version 2006, na nisingependa kubadili hiyo version, Tatizo Window 7 haikubali hy...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba anayeweza nisaidia upatikanaji wa keypad ya Simu Nokia E6 inanisumbua D-pad imeharibika so nimebandika na glue lakini hakuna msaada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, nina samsung galaxy note 3 original lakini pen yake inagoma kufanya kazi , ina detect ukiitoa lakini hakuna la ziada baada ya hapo ... msaada wenu tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa nahitaji hiyo simu tajwa hapo juu, ila iwe katika hali nzuri na isiwe clone. Nina laki 3 tu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey wadau naomba msaada kwenu, mi bado mchanga kwenye fani hii Naombeni msaada ktk chili Computer yangu ni mpya ila nikiplay audio au vidio inaniambia haina haina audio device name hats kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom