hawa jamaa wapo fit sana,decoder bei yake haivuk lak 3,inashika channels za dstv,ukitaka kufaidi zaidi nunua na modem hapo scrach zinaisha pia unaweza kutumia iptv,YouTube na channel za wakubwa...
wakuu nna receiver hapa media com 910 nikiingia kwenye installation inaomba password, na fundi aliyeiweka simpati, kwa mwenye master code anisaidie pls, natanguliza shukurani!
Habari zenu wanawateknolojia Naombeni msaada wa jinsi gani naweza kuibadilisha wine itoke kurun kwenye xp na iwe inarun win 7 kwani nahitaji kuinstall adobe lightroom kwenye laptop yangu ambayo...
Wanaopenda challenges za kuumiza kichwa kidogo, em jaribu ku decrypt hii message uniambie inasema nini..
Some tips: Ni ujumbe wa kiswahili...
Another tip: ASCII....
Last tip: Method ilikua...
Habari wadau?vninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size.
Nina shida...
waungwana naomba mnisahidie, kutatua tatizo langu natumia simu aina ya ideos u8150 inagoma kuinstall app ya instagram. pia hata katika play store haipo je nin tatizo? ni simu hiz za tigo
Habari za siku ya leo wadau wa jukwaa pendwa la teknolojia na sayansi. Leo nimekuja na hoja nyingine ya matumizi ya power bank kwenye mobile devices kama simu na vitu kama hivyo.
Nimekuwa mtumiaji...
kwayeyote mwenye utalaam au aliyewahi kukutana na matatizo ya gear box kwenye gari ya PASSO anaweza plz toa mchango wako hapo hiyo gari ilikuwa natatizo gani na uliitatuaje??
maana hizi gari...
Habari wandugu! wapi hapa Tanzania naweza pata programmed spare key ya BMW,318i ya mwaka 2002 kwa bei reasonable?
Natangauliza shukrani.
Mwenye taarifa yoyote anaweza nicheki kupitia 075996662 ...
Poleni na majukumu wana Jf, ninashida! Wazee wangu wanapata shida kila mara kumuita fundi kijijini kwasababu ya channel kutoka na kurudi kwenye decorder ya mediacom, naombeni msaada wadau ili...
Habar wana teknolojia....naomba msaada hivi naweza kubadilisha baadhi ya taarifa zangu nilizozitumia kujisajilia paypal hasahasa nataka kubadilisha sanduku la posta kwani nimefungua la...
Kuna wengine leo hii huduma za Internet zikisitishwa, basi itabidi tuanze upya kujipanga kimaisha... internet ndo kila kitu! Siku chache zijazo narudi ghetton kwangu! Tatizo la eneo ninaloishi ni...
Wakuu nahitaji mobile fm transmitter, ni kifaa kidogo ambacho hutumika kubroadcast audio kutoka kwa simu kwenda kwa fm radio ya karibu,
Nimejaribu Ebay na Amazon but sina Postal Code so imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.